Tuesday, April 26, 2011

HII NDIO COBINET YA SHAMTE ILIYO PINDULIWA MWAKA 1964

NA HAWA NDIO WALIYO PINDUWA SEREKALI YA KWANZA
YA ZANZIBAR
LAKINI MBONA HAWATAJWI MAANA WAO NDIO WALIOPINDUWA
NA TUNAVYOSEMA KUWA WALITUKOMBOWA TUSIBAKI UTUMWANI
SASA MBONA HATUWAKUMBUKI KWA UKOMBOZI WAO BORA??
Zanzibar Dola, Taifa na Nchi Huru)

, standing from left to right are: Muhammed Abdulla, Abdulla Mfarinyaki, Khamis Darwesh, Said Idi Bavuai, Abdullah Said Natepe, Hamid Ameir, Hafidh Suleiman, Pili Khamis, and Said wa Shoto. Seated from left to right are: Ramadhan Haji, John Okello, and Seif Bakari.
HUYU NDIYE ALIYE WAOGOZA NA KUPINDUWA HUWO MWAKA 1964
NA KUIFANYA ZANZIBAR KUWA NCHI HURU NA DEMOKRASIA SASA
MBONA HATAJWI TENA WALA HAKUMBUKWI NA YEYE NDIYE ALIYE
LETA DEMOKRASIYA NDANI YA ZANZIBAR
NA KILA SIKU WAZANZIBAR WANAJIVUNIYA MAPINDUZ SASA ALIYE
YAFANIKISHA HAYO MAPINDUZI NA TUKAWA NA HII NCHI YETU
YA ZANZIBAR MBONA HATAJWI TENA??
JOHN OKELLO


HAYA MSIKILIZE BABU NA JOHN OKELLO ANAVYO SEMA NDIO
UTAELEWA NI NANI ALIYE PINDUWA SEREKALI YA KWANZA
YA ZANZIBAR YA 1963 HAELEWI KITU ANACHO ULIZWA
MPAKA BABU AMUAMBIYE SASA ATATUONGOZA
VIPI SISI RAI NA YEYE MWENYEWE OKELLO HANA
ANALOLIJUWA ANAJUWA KUPINDUWA ILA NINI
AFANYE BAADA YA KUPINDUWA HAJUWI SASA
WANACHI WA ZANZIBAR TUNA KWENDA MBELE
AU TUNARUDI NYUMAA?



HAYA NDIO ALIYOYAFANYA WAKATI WA KUPINDUWA.
ILI ZANZIBAR IPATE KUWA NCHI HURU NA YA AMANI.
SASA KILA MZANZIBAR NA AJIULIZE JE KWELI HIVI
NDIO WAZANZIBAR TUNAVYOTAKA NCHI YETU KUWA
NA KUMBUKUMBU ZA AINA HII?


No comments:

Post a Comment