Friday, April 29, 2011

HUYU NDIYE PINDA ANAYE WATISHA WABUNGE WA Z''BAR NA WAWAKILISHI WA Z'BAR


anawambiya wajaribu kwenda kudai kiti chao U.N. waone?ikiwa watadai
atafanya nini?pia anasema kuwa muungano ukivunjika ndio tutajuwa
nani atakae athirika sasa yeye ashakuwa ndio mtuwa riziki sasa?

3 comments:

  1. hizi ndio comment zenu mulizo nitumiya asanteni sana ila mumetuma kwenye email yangu nina waomba mujiunge hapa na muwache comment zenu hapa moja kwa moja ili watu wote waone mawazo yenu asanteni sana



    Author: utomvu
    Comment:
    Hizi habari wekeni sawa ni zajana au ni kama alivo sema ATOZ. hapo.kama nizajana
    Naanza kwa kumnukuu PINDA (MPINDO) wanaotaka kuvunja Muungano au kutaka kujiunga na jumuiya za kimataifa nje kama nchi wajaribu na wataona matokeo yake,....Pinda kila ukitoa kauli mavi kama hizo nisawa nakutumwagia maji yabetri,napia unawazindua hivo vibaraka mnavovitumia hapo znz kujifaham zaid usaliti wao kwa waznzb pia hivo vitisho wafanyie wa rukwa weziwo,mjinga moja wee usojijua waznz si wajinga kama wewe znz si yababa yako au mama yako uipangie utakavo wewe govi. mlikuja kuomba kujiunga wenyewe sasa tunavunja hatutaki muungano wenu wakikoloni unganeni na kongo mko boda pale au zambia.
    Na nyinyi viongozi wetu wa znz msitusali bwanaaaa wacheni utapia mloo huo tumekuchagueni kwa ajili ya nchi yetu znz leo iweje mukae kimnya na pumba kama hizo au ndo mshatishwa mtakosa tonge au mtavamiwa navifaru acheni uzembe huo hizi zama za teknologia dunia nzima ipo kiganjan tunahitaji znz yetu ukoloni mweusi basss
    PINDA pia anasema msingi wote huo wamatatizo ,ni suala la mafuta na gesi, sisi tunakwambia si mafuta nagesi tuu,tumechoka na okoloni mweusi hatuna faida hata moja kua na watwana kama nyie hamuchukuliki hamuna ihsani wa imani,tukuulize ninani alouuomba muungano huu nakuulazimisha kama si baba yenu nyerere iweje useme tutaathirika tukivunja muungano sisi wa znz usitulinganishe na watwana wenzio huko midanganyiko, nakama umekusudia umasikini sisi tunakinai umasikini wetu nahatokufa mtu nanjaa sote tunajuana natunaimani moja labda useme nyinyi ndo mtakao teketea maana mna viumbe hata idadi hamuwajui na ufukara ndo unazidi sijui mtawasaidiaje hao.
    Kwa kumalizia tuu viuongozi wetu wa znz munaongangania muungano kwa ajili yamaslaha yenu
    sisi wa znz muungano huo hatuutaki nawala hatukusemeheni kuendelea kututawalisha kwa wakoloni weusi niabu kubwa 47 tunatawalia kwa ubabae kisingizio muungano kama kwamba hii nchi hi ya znz ni yahawa wadanganyika na mitumbo michache ilopo znz.
    ishaala Mungu atailinda znz nahusda za wanafiki hawa amin.

    ReplyDelete
  2. hizi ndio comment zenu mulizo nitumiya asanteni sana ila mumetuma kwenye email yangu nina waomba mujiunge hapa na muwache comment zenu hapa moja kwa moja ili watu wote waone mawazo yenu asanteni sana


    Author: zenjihawk
    Comment:
    PINDA NI MTU MMOJA MBAGUZI NA IGOISTA ANAJIPENDA PEKEE KWAHIVYO YEYE NI MVUNJA MUUNGANO HAJUI ANACHOKIFANYA KUCHOCHEA VITA NAHICHI NDIO ANACHOKIITAKA KUJARIBU WANZIBARI KWA DAMU ZAO.ANATAKA IMWAGIKE DAMU KESHA ELEWA KITU GANI KITATENDA NI KUZULUMU ROHO ZA WAZANZIBARI.HII SIE PINDA PEKEE NA YUKO WA JUUU YAKE HAWEZI KUTOWA MANENO MAOVU BILA WA JUU YAKE HII IMESHA PANGWA NA YEYE MWENYEWE KUVUNJA MUUNGANO SABABU KILA KUKICA ANAZIITA HAMASA ZA WAZANZIBARY ANATAKA KUWAJARIBU JEE WAKO MACHO AU WAMELALA HA JUI KUWA WAZANZIBARY JICHO LAO KAMA NYOKA HAWANA MASIKIO LAKINI WAN HISII KALI KULIKO MASIKIO NAIKIPANDA HUWA HAMASA NA HAMASA IKIPANDA UWA JIHAD.MR OR MRS MIZONGO PINDA HAMASISHA WATU MATOKEO YAKO UTAYAONA SIJUI UNATOKA BURUNDI SABABU WAGENI WAPO WENGI SANA KATIKA SERIKALI YA TANGANYIKA.,WATANGANYIKA WANACHOYO SANA HATA UZURI WETU BASI WANAUONEA CHOYO WANAONA KAMAVILE WAKO CHINI YETU HII NDIO HOFU YAO NA TUKIWA PEKE YETU BASI WATAZIDI KUWA CHINI YETU KWAHIVYO LAZIMA WALETE ROHO MBAYA.ILI WAPATE KUJIKUKUTA KUWA MBELE YETU.WAJUWE KWAMBA SISI NDIO WAMAHIRI WAO KWA KILA KITU HATA WAKIJIKUKUTA.WANAJUWA KUWA SISI NDIO WAKOMBOZI NDIO TULOIKOMBOWA NCHI ZA MIPAKA YAO KAMA ENGE KUWAPO SAMORA MACHELI ENGE WAMBIA SABABU KESHA HUTUBIA PEMBA NA ANAJUWA KUWA WAPEMBA NDIO WALO IKOMBOWA MUZAMBIQUE MPAKA AKAMUWEKA ALI MAHAFUDHU KUWA GENERALI WA MUZAMBIQUE . NAWAO WATANGANYIKA WANAJUWA KUWA NDIO TULOWAKOMBOWA KWA IDDI AMIN. MPAKA SILAHA NZITO NZITO ZIMETOKA ZENJI EMPIRE WAO WALIKUWA HAWANA KITU HILO WANALIJUWA LAKINI WATANGANYIKA NDIO WADANGANYIKA CHOYO NDO CHAO NA ROHO MBAYA.MTU AMEKUFA JUU YAKO HALAFU UNA MSIMANGA CHOYO GANI HICHO KWA KUSEMA KUWA WANZIBARY WAMEKUFA WENGI VITA VA IDDI AMINI BASI WA NI WAOGA NA HAWA KUWA MSTARI WA MBELE KAZI YOTE KAIFA MZANZIBARY SABABU JESHI HALIWEZI KUPIGANA LISIFE.WATANGANYIKA NI WATU WOGA SANA DUNIANI ILA KUTISHA NDIO ZAO AMKENI WAZANZIRY.MR OR MRS MIZINGUO PINDA ASI TISHE TOTO AJUE KUWA WANZANZIBARY NAKILA AKITISHA BALAA LITAMKUTA KAMA ALIVO TISHA TOTO KAMA ZANZIBAR SIO NCHI AKAWEKEWA MIPAKA.SASA KAZI KWAKE.MWENYE ENZI MUNGU IBARIKI ZANZIBAR.


    Author: truthtakestime
    Comment: Mwachieni aseme na kutoa vitisho anavyopenda ...


    Author: truthtakestime
    Comment:
    Mwachieni aseme na kutoa vitisho anavyopenda ila akae akijua kua Zanzibar ya leo sio ya jana.Yeye akinya mbovu zake si tunatekeleza kwa vitendo.Mwisho wa siku wakijakutahamaki tumesharejesha kila kitu chetu walichokipora.Mm inaniuma sana kumuona Raisi wa Zanzibar anaenda safari ya kiserekali kama Raisi wa Zanzibar na kusindikizwa na bendera ya Muungano/Tanzania.Ya Allah tunakuomba uendelee kuikinga Zanzibar na watu wake dhidi ya hawa madhwalim.Amin,Amin,Amin
    Author: dady
    Comment:
    makamu wa rais bara kwanza na ajue asili yake kwanza. alafu ajue kwao hawezi kuzungumzia suala la amuungano.
    suala la muungano litazungumziwa na wazazniabar wenyewe. sio makamo wa rais. wala wairi wa mambo ya ndani wala waziri yoyote yule kuteka znz wa bi siluhu.
    ni wazanzibar wala sio wazanzibara walio zanzibar ambao ni makafiri walioletwa na akina pinda. na ccm
    kila kafiri hana haki aliyeletwa na ccm kushirikiana na smz hana haki tena kujiita mzanzibara yeye ni mtanganyika.
    salam kwa pinda kuwa tanganyika ndio itapata hasara muungano kwani pinda na ajue mipaka ya tanganyika ipo wapi? ni kweli watanganyika ni wakoloni walio wezi.
    salam kwa pinda tunataka. maana ya bendera ya tanzania alafu litakuja swali la pi baadaye
    Picha:Flag of Tanzania.svg pinda na atufafanulie nini maana ya rangi za bendera hii

    ikiwa hakuna mafuta yapo basi muungano hatutaki tena. hamusikii

    ReplyDelete
  3. Author: uchungu
    Comment:
    shamhuna aliwaambia kuwa tunaweza kujiunga na nchi za umoja wa kiislamu na inawezekana sasa huyu MIZINGUO PINDA sura mbaya kama mjusi alobanwa na mlango anatulazima kuburuzwa na wakatoloki wakoloni lakini tunakuambia HAKUNA JAMBO LISILOKUA NA MWISHO na kama huamini subiri unatutia hasira

    Author: santorini
    Comment:
    Jumuia ya afrika mashariki ilikuwa ikishughulikia mambo muhimu kwa mataifa 4 ikiwemo zanzibar kama mshiriki kamili katika jumuia hiyo kabla ya kuvunjika kila mmoja alimtahadharisha mwenziwe kama ataathirika iwapo itavunjika ,jee ni nani alieathirika ?,tusitishane kuvunjika kwa tanzania kila mmoja atapanga mambo yake kwa makini hapo litakapovunjika na muathirika utakuwa wewe bara kwani utakuwa huna wa kumnyonya tena na kumdhalilisha kiuchumi.
    world vision inatoa msaada katika mataifa masikini duniani,inasaidia kujenga mashule,hospitali ,kuchimba visima ,kusaidia hata watu au familia moja moja katika kilimo ,ufugaji ili kujikimu kimaisha ,mikoa zaidi ya kumi inapata msaada huo kwa sababu serikali ya tanganyika imewatelekeza watu wake na shirika hilo lipo hapo linawasaidia .
    Kutokana na maisha mabaya ya wananchi wa tanganyika na mdomo wako pinda mpana sana lakini bila vitendo ndio watu wa tanganyika wanaathirika na kupata msaada wa world vision.
    Sasahuoni maneno yako hayana maana suali unauliza nani ataathirika ?kumbe tanganyika inaathirika hivi sasa hata bado muungano haujavunjika
    World vision hawapo zanzibar na hawahitajiki hapa na katika utafiti wao sisi wazanzibari hatumo katika wenye kuathirika na njaa na unasikini uliokithiri.
    chunga mdomo wako.


    Author: MGUNYA
    Comment:
    wewe chogo kama kifulio cha nazi nyamaza kimya tumeshasema hatutakiiii tumechoka tumechokaa

    ReplyDelete