Sunday, April 24, 2011

JE HAWA NDIO VIJANA WA KIZANZIBAR WA KULILINDA TAIFA LA ZANZIBA.AU NDIO TUSHAMEZWA NA MKOLONI MWEUSI? HEBU NIAMBIYE MAJINA YAO KWANZA WANAITWA NANI??

wewe kweli ni mwanamke wa kislamu kweli?

sasa ndio unawabandika vyeo ili watumalize sio amakweli mnafiki ni mnafiki tu kisha
muna sema wabara hao watanganyika hao wewe siunawakaribisha na kuwapa vyeo
kisha unajiti ni muislamu.
haya sasa wazazi wetu wa unguja na pemba fungeni milangu yenu
maana peter na john washakuja zanzibar kuja kuwatiya mimba watoto
wenu wa kike

No comments:

Post a Comment