Thursday, April 28, 2011

JE HIZI NDIO HAKI ZA BINADAMU??..JE HIVI NDIO ASKARI ANAVYO WALINDA WANCHI WA NCHI YAKE??KAMA HII SIO HAKI BASI HAWA WOTE WASHATAKIWE NA WAPELEKWE MAHAKAMANI KWA KUWAPIGA RAI WASIO NA HATIYA.

                                     sio kama najenga chuki ili wewe ukiwa kama mwanadamu
na nipolisi wakuwalinda rai wa nchi yako na kuweka amani
sasa jiulizi kama hawa mapolisi walikuwa ni vijana wa kizanzibar
kweli wangeliwafanya dungu zao kama hivi??
miaka 47 ya muungano je hizi ndio faida za muungano??
tunawaita ati ni dungu zetu je huu ndio udugu??

hii nikinyuma na haki za binadamu huruhusiwi kumpiga rai asiyekuwa na hatia
na hata kama anahatia unatakiwa ushike na kumpeleka ali ahukumiwi sio wewe
kwa kuwa ni FFU basi ni pinga pinga tu angaliya hii video uwone jensi askari wa
tanganyika wanavyo wafanya wazanzibar je hizi ndizo faida za muungano??
je haya ndiyo ya kusherehekeya sherehe za muungano??

No comments:

Post a Comment