Monday, April 25, 2011

MUSIWE NA JAZBA

Waziri wa Afrika Mashariki Samweli Sitta kwa niaba ya waziri wa Sheria na Katiba wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akitoa muhtasari wa mswaada wa kuundwa kamisheni ya kukusanya maoni kuhusu kutungwa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo amesema mswaada wa katiba utachukua muda wa miaka mitatu lakini hivi sasa ni kinachofanyika ni kukusanya maoni katika maeneo mbali mbali ya Tanzania lakini aliwaomba wazanzibari wasiwe na jazba katika suala hilo la utoaji maoni kwani hata yeye hafurahii suala hilo la Muungano unavyoendeshwa.

No comments:

Post a Comment