Wednesday, April 27, 2011

ANGALIYA MATESO YALIYO YAPATA KISIWA CHA ZANZIBAR NA MPAKA LEO NDIO KWANZA VISIWA VY ZANZIBAR VINAWAKA MOTO

Zanzibar Becomes a Member of the United Nations
 huyu ndiye muhammed shamte aliye kuwa waziri
kiongozi wa kwanza wa zanzibar 1963 baada ya
uhuru wa watu wa zanzibar akihubiri ktk
U.N
 



hapa ndio john okello anamkabithi mzee karume
nchi ya zanzibar baada ya kumaliza mauwaji yake
1964






hapa ndio john okello akishuka kifuwa mbele dar es salaam
baada ya kuwauwa watu wa zanzibar mzee karume kamuambia
nenda dar es salaam unaitwa na nyerere hajuwa kama ashamsidi
kite
kawauwa watu zanzibar na yeye kabuliya patupu
huyu ndiye aliyekuwa mfalme wa zanzibar kwenye miaka ya 1962 na1963
na kulazimishwa kuondoka mwaka 1964 na kwenda zake kupata hifathi yake
huko uengereza

  


huyu ndiye rais wa kwanza wa zanzibar mzee amani 
abeid karume baada ya mapinduzi ya zanzibar 1964 
hapa ndio ashakuwa rais



huyu ndiye babu


huyu ndiye aboud  jumbe
ambaye alikuwa pia rais wa pili
wa zanzibar




huyu ndiye Ali Hassan Mwinyi
aliye wahi kuwa rais wa tatu zanzibar kwa
kipindi kifupi kisha akawa pia raisi wa tanganyika



huyu ndiye Idris Abdul Wakil ambaye pia
aliwahi kuwa rais wa nne zanzibar



huyu ndiye salmin amour
aliye wahi kuwa rais wa zanzibar
na ni rais wa tano


huyu ndiye rai Amani Abeid karuma aliye wahi kuw
rais wa zanzibar wa sita



  1.  
huyu ndiye rais wa sasa wa zanzibar ali muhammed shein .
ambaye ndiye rais wa kwanza wa..(GNU).... (SUK)

huyu ndiye maalim Seif Shariff Hamad ambaye aliwahi
kuwa waziri kiongozi na sasa ni makamu wa rais wa
serekali mpya ya (GNU)..(SUK)
SWALI LANGU MOJA TU MARAISI WOTE
HAWA WAMESHINDWA KUWAPA
RAI WA ZANZIBAR MAISHA MAZURI??
SEIF SHARIF HAMAD AT THE TIME WHEN HE WAS A CHIEF MINISTER OF ZANZIBAR
huyu ndiye seif shariff hamad
                           
MALCOME X NA BABU
                                                           HUYU KULIA NDIYE BABU
        KIONGOZI WA CHAMA CHA UMMA PART
          AU WENYEWE WAKIJIITA MAKOMREDI
HAWA NDIO VIONGOZI WALIYO PITA KAMA
MVUA WAKI IWANIA ZANZIBAR KILA SIKU
WAMEIWACHA HAPA NA HAO HAPO CHINI
NA SUTI ZAO NDIO WANAIWANIA SASA
ZANZIBAR HAYA
TWENDENI TUTAFIKA

 
JE WAPIGA PICHA MUNAONAJE SUTI YANGU MIMI
SI NI KALI KULIKO YA HUYUUUU HAHAHAH
RAHA SANA NA TAI YANGU JE?


duuuuuuuuuuuh hili ni bwawa la kufugia samaki au
ndio swimming POOL??
        hapa ndio mkunazini
                                                                wageni munakaribishwa zanzibar
                                                       yetu hakuna matata tunakula raha tu kuliko QATAR
                                                                        HAPA ZANZIBAR     
                                                                                                                

tuko ktk ujenzi wa bara bara tunataka kujenga za chini ya bahari
kisha ndio tu jenge za juu kisha tunamalizia na madaraja ya kupishana
na madaraja yatakuwa yakifuguka na kujifunga musijali wananchi
ZANZIBAR itakuwa kuliko QATAR na itaishinda
SINGAPORI
       
       
HAYA
kweli huyu angelikuwa na kijana wa ZANZIBAR angeliwapinga mabomu ya machuzi
baba zake,mama zake,dada,kaka na familiya yake kweli??

kila siku nasikia kuwa warabu ndio waliyo watesa watu wa zanzibar
ndio maana watu wakaa muwa kufanya mapinduzi ya mwaka 1964
sasa hawa watoto ni watoto wa kiarabu kweli???
kwa nini hatuambizani ukweli kila moja akajuwa
au ukweli unauma ndio maana kila moja kabana tu.

                    ZANZIBAR 1953 SEP
                   PHOTO FROM MARSH FAMILY
                                                                                 COLLECTION                                                                            

                                                                                                         
                                                                       
    
                
         

      
                                                                      








                                                                           

No comments:

Post a Comment