Monday, April 25, 2011

TUNAOMBA MADESKI YA KUKALIYA MAMA VODACOM



Mkurugenzi wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba (kulia) akikagua moja ya madarasa ya wanafunzi wa sekondari ya Darajani ambao bado wanakaa chini kutokana na uhaba wa madawati.Vodacom Foundation kupitia mkurugenzi wake huyo akionyesha kuwahurumia, ameahidi kuwapatia madawati wanafunzi hao katika muda si mrefu

No comments:

Post a Comment