Thursday, April 28, 2011

WANANCHI WA ZANZIBAR WASUSIA SHEREHE ZA MUUNGANO ILAA VIONGOZI NA MAJESHI WANASHEREHEKEYA

hawa ndio wanajeshi wa zanzibar
Katikati ndiye rais wa tanganyika mwenye miwani
kushoto ndiye rais wa zanzibar na baada ya jenera
au sijuwi ndiye kanal anafuatiya ni makamo wa rais
wa zanzibar
                                                                            
vipi tena jamaa mbona hamufurahi

rais wa tanganyika akiwasili nchini zanzibar ktk kiwaja cha amani
stadium kwa ajili ya sherehe za muungano ambao tayari watu wa
zanzibar hawautaki na wanaendeleya kupinga hapa zanzibar
huwo muungano ambao hizi ndizo sherehe zake kutimiza
miaka 47

No comments:

Post a Comment