Saturday, May 21, 2011

ANGALIYA TAFAUTI YA DESTURI,MILA,USTARABU NA KUJIHESHIMU.


je hivi ndivyo tulivyo wazanzibar..?

nani mzazi wa kizanzibar atataka binti yake afanye mambo haya hatharani..?

wazee wa znz mwanao wa kike akija kuanza kufanya kama haya musilalamike maana mume
wakaribisha wenyewe kwa hiyo watoto wenu wakike wakiwa kama hapa nyinyi pigeni makofi
na kuwashangiria kuwa sasa mwanao kaendeleya kweli kweli.

haya ndio yanaletwa znz je wazazi mukotayari
mabinti wenu wa kizenji kuwa kama hivi..?

kuonyesha kwapa ndio fashion au utovu wa adabu..?

haya ndio mavazi yao je na sisi znz tuwachiye dada au watoto
wetu wakike kuva kama hawaa..?

je haya ndio yatakuwa kwa binti zetu wa znz miaka ijayo..?

ni mzazi gani atataka binti yake hapo znz apingwe picha kama hii..?

hizi ndizo faida za muungano na zishaingiya znz je unajuwa
ni nani atafutiya haya ni dada zetu na binti zetu maana wataona
ni mambo ya kawaida je tukotayari kuyakabili hay kwa binti zetu..?

muungano oyee znz leo ni wao kesho ni dada yako

ktk ya umati wa watu wanakatika inamana hawana tena haya
je ndio tunavyotaka pia dada zetu na binti zetu kutokwa na haya..?

je kweli utasema huyu binti ana haya..?

haya ndio tunaletewa znz taratibu mpaka
tukija tukiamka dada zetu washakuwa kama
hivi je tukotayari znz wanawake wetu kuwa hivi.?

je haya ndio maendeleyo..?

mshkaki wa wanawake.

vipi mambo haya..?

znz tusipo angaliya hivi ndio mwisho wa
dada zetu binti zetu na wanawake wetu je
wanaume wa znz tunawapeleka wanawake
watu wapi..?

ni jambo la kawaida ila znz ni fetheha je ikiwa
tunakazaniya muungano nani na nani yuko tayari
binti yake kuwa kama huyu miaka ijayo hapa znz..?

hivi kweli baba wa kizenji utaona raha mwanao awe hivi?

haya ndio mavazi je nini kilichobakia hap..?wao wanathani
utupu ni matiti na chini sisi znz huu wote ni utupu je kweli
tunataka darajani tuwe tukipita tunaona haya..?

je kweli tunaitaka znz iwe hivi..?

haya hakuna aibu hakuna hata wasiwasi hakuna ila ni mila
zao na utamaduni wao je na sisi znz wanawake watu wawe
kama wao..?

hujuwi mwanamume ni yupi wala mwanamke ni yupi wote wanakatika viuno je
znz ndio tunayoyataka haya nchi kwetu..?

utumwa wa kuzwa ulaya umekwisha ila sasa kunautumwa wakuzaa mili ndio huu
je tutayakaribisha haya znz na kufumba macho kama hayako na yanaletwa..?

nani anaetaka binti yake znz kuwa hivi?

kwao ni mambo ya kawaida je znz pia iwe kama wao..?

je niwacheza show au wanafilamu za matusi..?ona nini
wanafanya katika midomo yao je znz pia iwe hivi...?

je hii ni fahari ya kujivunia..? au nikujutiya ikiwa binti yako znz atakuwa hivi..?

iki wapi hishima au kujiheshimu...?

ikiwa znz itakuwa hivi natujiulize tunaelekeya wapi..?

ndio nikasema hapo juu hii ni mila yao angaliya mtoto huyu
mdogo anavyo wangaliya jinsi uchafu wanao ufanya ila hawajali
je znz pia wanawake wetu wawe hivi na watoto wao wanawangaliya..?

haya ndio maendeleyo tunayoyataka znz..?

hakuna hashima wala staha angaliya anavyomkatikiya huyo
mwanamume na pengine ni mke wa mtu au ni mume wa mtu
je ndio tunayoyataka haya znz..?

nini hathi au heshima ya mwanamke kama huyu..? je znz wanao unganganiya
muungano haya ndio yanayowavutiya je mutakubali binti zenu wafanywe kama
hivi...?

wazungu au...?

taratibu yanaingiya kama kansaa.

huyu ni mama au anti wa mtu je na sisi
mama na anti zetu znz wawe hivi..?


haya ndio mavazi je na binti zetu znz wavae kama hivi.?

je ndivyo tunavyotaka wake zetu kuwa hivi znz



je haya au ibuu au kujihishimu kama yeye ni mwanamke iko wapi hapaa..?

baada ya kukatika kisha ni hayaa ndio yanayofuatiya.








maendeleo haya sio..?je na znz pia tuyaruhusu..?


je hii ndio taarab..? au ndio mzee yussuf anatuleteya mambo ya bara znz..? uliona wapi
taarab ya znz muimbaji akasikiliza matako ya mwanamke yanaliya vipi tulikuwa na wambaji wa kiume ila haya hatukuyaona znz inapelekwa wapi...?


sasa naweka za wanawake wa znz ili tujuwe tofauti ya znz na tang





ona tafauti ya hawa na wale wa mwanzo ndio utajuwa sisi tuna mila na
desturi zetu na wao wanazao katu tusikubali kuwafuata wao na jia ni moja
kuvunja muungano.

ona watoto wetu

je sis tunachanganyika kama wao ulivyo ona pale juu..?


ona tafauti na heshima na ustarabu wa wanawake wa zenji













hawa ni watoto mayatima wa znz



TUNAHITAJI MAASKARI WOTE WA KIKE WA KIISLAMU WARUHUSIWE KUJISTIRI MIILI YAO.

malikiya wa ungereza ona hapa alivyotuliya





























haya nililo taka kusema ni kuwa sisi tuna mila zetu na disturi zetu na utamaduni wetu na heshima ya wanawake wetu je itakuwa ni vizuri tukiendeleye na mambo yetu au kuanza kuinga ya watu na kutumbukiya katika mila zisizo zetu wala utamaduni usiyokuwa wetu wala disturi zisizo zetu je kweli itakuwa ni zanzibar tunayoijuwa..?au kweli itakuwa ni zanzibar tuliyowachiwa na wazazi wetu au ndio itakuwa zanzibar mpya kama wanavyosema wenyewe kizazi kipya..?kwao wao ni jambo lakawaida ndivyo walivyo wao ila znz ni mambo ya ajabu ikiwa mwanamke atakosa haya kiasi hichi na kufanya mambo kama haya sasa natujiulize wazee na vijana kina mama na kina baba kina dada na kina kaka je ni znz ipi tunayoitaka hii yetu au yakubatizwa na watu waliyokuwa sio wazanzibar bali wanatuleteya mila zao na sisi tuanze kuinga je tukotayari kubatizwa ktk mila na disturi na ustarabu wa watu wengine au ni bora tubaki na wetu ili watu wakija watuinge sisi..?tusikae tu na kusema mimi mwanangu hatafanya hayo wewe mwanao hata fanya je unauhakika wa mjuku waKO kuwa hata fanya..?marathi yakingiya kijijini hayampati mtu moja hata yakimpata mtoto wa jirani yako ndio wako sasa wazanzibar tuamke au tutajikuta mahali pabaya sana sina la zaidi ila kutakia kila la kheri nchi yetu ya zanzibar ameeniiiiiiiiiii.

1 comment:

  1. If clothes determined how good or moral we are... then your accusations would matter.
    Watu wa zanzibar... Focus on education and working and stop suppressing your women

    ReplyDelete