Saturday, May 7, 2011

JE HUU NI UBINADAMU KWELI? AFRICA HAKUKALI ULAYA HAKWENDEKI ARABUNI HAKUAMINIKI


inavyosemekani huu ni mfanyakazi huku nchini arabuni baada ya kufungiwa sana
ndani bila ya kuona hata juwa linavyo toka na linavyozama akamuwa kutoroka na
hapa camera zetu za kimataifa zilimpata mwana dada huyu akiwa in action kutoroka
je huu ni ubinadamu kweli??

No comments:

Post a Comment