Saturday, May 14, 2011

JE WATANGANYIKA HAMUITAKI NCHI YENU...? JE MUNAIJUWA SIKU YA UHURU WA NCHI YENU YA TANGANYIKA...?

je WATANGANYIKA munaikumbuka siku hii...?
je unaijuwa siku ya kusherehekeya uhuru wenu
WATANGANYIKA........?

julius kambarage nyerere ikibebwa na washabi
kwa kufurahiyi uhuru wa nchi yao ya TANGANYIKA
baada ya kupewa uhuru TANGANYIKA
raisi wa kwanza wa nchi ya TANGANYIKA
baba wa taifa la TANGANYIKA  na familiya yake

hizi ni bathi to ya picha na alama yakuwakumbusha watu wote kutoka TANGANYIKA kuwa muna nchi yenu ina itwaa TANGANYIKA je iko wapi?mimi nashangazwa sana na vijana wa sasa ukiwambiya nyinyi WATANGANYIKA wanakasirika kweli kweli sijuwi kwanini. mana waswahili wanasema mkataa kwao mtumwa sasa kama unalikata jina la nchi yako je wewe sio mtumwa? wazenji wote paha popote ukimuliza anakujibu mimi ni mzanzibar wala hawakasiriki wala hawanuni bali wanaona fukhari haswa kutaja jina la ZANZIBAR je nikwanini WATANGANYIKA nyinyi pia musiwe na furaha kutaja jina la nchi yenu TANGANYIKA.

kuna mambo mengi sana TANGANYIKA ambayo yanawavutiya watali kama vile mbuga za wanyama mlima wa kilimanjaro na mengi tu kama mimi nimetembeleya mkoa wa mbeya na mororgoro wenyewe wanasema mji kasoro bahari ni moja ya kujivunia na kusema nchi yetu ya TANGANYIKA NI NZURI na kwali ni nzuri na ina milima na mabonde na ardhi iliyo kubwa kabisa pia ni nchi ambayo ina maziwa na mito mikubwa ambayo inajulikana ulimwenguni vipi leo WATANGANYIKA hawataki kabisa kusikia jina TANAGNYIKA na ndio jina la nchi  yenu tanzania ni jina tu la kubatizwa baada ya kungana na zanzibar lakini sio jina la nchi yenu hata ukivunjika leo muungano U.N.haitawatambuwa nyinyi kama watanzania bali ni WATANGANYIKA angaliya hapo juu mababu na bibi zenu wanavyo furahikiya uhuru na wala hawakuchukiya wala hawakunungunika kabisa na walikuwa na fahari kubwa kuwa wao WATANGANYIKA wako huru na nchi yao itakuwa na maendeleyo na baba wa taifa la TANGANYIKA UNAMUONA HAPO JUU jinsi alivyo furahi kabisa kwa hiyo sio ibu nyinyi kuwa WATANGANYIKA wala sio tharau kuwa nyinyi ni WATANGANYIKA.

1 comment:

  1. Nafikiri ni Upuuzi mtupu kwa Watanganyika kutokuwa na Bedera yao! Ipo siku Wazanzibari watataka Raisi Wa Jamhuri akae kama Katibu wa Raisi wa Zanzibar! Nashanga kuna Raisi wa Jamhuri eti kualikwa katika sherehe za Mapinduzi! -Ingebidi hasa raisi wa Zanzibar ndiye awe mgeni rasmi! inabidi tuwaze tunako kwenda!

    ReplyDelete