Tuesday, May 24, 2011

KISA CHA MUISLAMU NA PADRI KATIKA KANISA‏



salamu aleikum waramatulahi wa barakati

siku moja muislamu moja alikwenda ktk kanisa ktk nchi moja za ulaya ili aone kuna nini ktk kanisa na jinsi wanavyo fanya ibada zao.alipo ingia padri ktk kanisa akasema hapa tulipo kuna muislamu kati yetu nina muomba aondoke. basi yule akainuka na kuanza kuondoka alipokuwa anaondoka akasimama na kumuliza yule padri umejuwaje kama mimi ni muislamu..?

pandri akajibu muislamu hujulikana kwa nuru ktk uso wake(na huyu kijana alikuwa ni mumini wa kweli)

yule padri akaona ufahari wa kujiona amemngunduwa muislamu akataka kujionyesha zaidi kwa wafuwasi wake pale kanisani akamuambiya yule muislamu nitakuliza maswali 22 na lazima uyajibu yote yule muislamu akatabasamu na kusema niulize swali upendalo.

yule padri akaanza kumuliza kama ifuatavyo.
1)ni nani ambaye ni moja hana wapili wake..?
2)na ninani ambao ni wawili hawana watatu wao..?
3)na ninani ambao ni watatu na hawana wanne wao..?
4)na nini ambao ni wanne hawana watano wao..?
5)na ninani ambao ni watano na hawana wasita wao..?
6)na ninani ambao ni wasita na hawana wasaba wao..?
7)na ninani ambao ni wasaba na hawana wanane wao..?
8)na ninani ambao ni wanane na hawana watisa wao..?
9)na ninani ambao ni watisa na hawana wa kumi wao..?
10)na nani ambao ni kumi wanakubali kuzidi..?
11)nani ambao nikumi na moja hawana wa kumi na mbili..?
12)na ninani wa kumi na mbili ambaye hana wa kumi na tatu..?
13)na ninani hao kumi na tatu hawana kumi na nne..?
14)kitu gani ambacho kinavuta pumzi lakini hakina roho..?
15)kaburi ngani ambalo lilitembea na maiti..?
16)ni nani ambao walisema uwongo wakaingiya peponi..?
17)kitu gani ambacho amekiumba mwenyezi mungu kisha akakikata..?
18)viumbe ngani amambavyo viliumbwa bila ya baba wala mama..?
19)kiumbe gani ambae ameubwa na moto,na ambaye akahalikishwa na moto na ambaye akahifadhiwa na moto..?
20)na ninani ambaye ameubwa na jiwe,na ambaye amehalikishwa na jiwe na ambaye amehifadhiwa na jiwe..?
21)mti gani ambao unamatawi kumi na mbili na kila tawi linamajani thalathini na kila jani lina matunda matano kati ya hayo matunda matano,matatu yapo kivulini na mawili yapo juwani..?
yule kijana wa kislamu akatabasamu kisha akanza kumjibu kama ifuatavyo

1)moja ambaye hana wa pili wake ni allah subahana wataala.
2)na wawili ambao hawana wa tatu wake ni usiku na mchana.
3)na watatu ambao hawana wa nne wao ni udhuru wa musa alayhi salaam.
4)na vinne ambavyo hakuna vya tano wao ni vitabu vilivyoteremshwa na mwenyezi mungu mtukufu navyo ni Taurat,Zabuur,Injiil na Quraan tukufu.
5)na watano ambao hawana wa sita wao ni swala tano za faradhi.
6)na sita ambazo hakuna wa saba ni siku sita ambazo mwenyezi mungu mtukufu alizoiumba ulimwengu.
7)na saba ambazo hakuna wa nane wake ni mbingu saba.
8)na nane ambazo hakuna wa tisa wake ni malaika wa nane ambao watakaochukuwa kiti cha enzi.ambao wametajwa ktk surrati al-haagah
9)na tisa ambayo haina wa kumi wake ni miujiza ya musa alayhi salaam.
10)na kumi ambao wanakubali kuzindishwa ni malipo mema au thawabu mjaa anapofanya moja na kulipwa kumi.
11)kumi na moja ambao hawana wa kumi na mbili wao ni dungu zake yussuf alayhi salaam.
12)kumi na mbili ambao hawana wa kumi na tatu wao ni miujiza ya musa alayhi salaam kwa kutumiya fimbo.
13)wakumi na tatu ambao wahawna wa kumi na nne wao ni ndugu zake yussuf na baba yao na mama yao.
14)kitu ambacho kina pumuwa lakini hakina roho ni asubuhi.
15)kaburi ambalo lilitembeya na maiti wake ni samaki aliye meza sayyidna yunus alayhi salaam.
16)na ambao wamesema uwongo wakaingiya peponi ni dungu zake yusuf alayhi salaam.
17)kitu ambacho amekiumba mwenyezi mungu na kukikata ni sauti ya punda.
18)viumbe ambavyo viliumbwa bila baba wala mama ni baba yetu adam alayhi salaam na ngamia wa nabii swaleh ambaye amatajwa ktk surrati Ash-shamsi,na mnyama aliye chinjwa badala ya mtoto wa nabii ibraheem(kama inavyothibitisha ktk surrati as-safaat) na malaika.
19)na ambaye ameubwa kwa moto ni ibliis na ambaye ameharikishwa na moto ni abuu jahil na wenzake,na ambaye amahifadhiwa na moto ni nabii Ebrahiim alayhi salaam.
20)na ambaye ameubwa na jiwe ni Naqat swaleh alayhi salaam,na waliyo harikishwa na jiwe ni asw-habuu alfiil,na ambao walihifadhiwa na jiwe ni asw habuu alkafi(watu wa bangoni)
21)kitu ambacho amekiumba mwenyezi mungu na kukitukuza ni kiidatu nisaa(vitimbi vya wanawake)
22)mti ambao una matawi kumi na mbili na kila tawi lina majani thalathini na kila jani lina matunda matano kati ya hayo matunda matano matatu yapo kivulini na mawali yapo juwani.
mti ni sawa na mwaka,na matawi ni miezi,majani yale ni siku ktk mwezi na matunda matano ni swala tano za faradhi tatu ziko kivulini ni swla ya alfajiri,magharibi na ishaa na mbili ziko juwani ni swla ya athuhuri na al asir.

baada ya kutowa majibu yote hayo watu wote pale kanisani wakashanga kwa majibu ya kijana huyo.na kabla hajaondoka yule kijana wa kislamu akamgeukiya padri na kumuliza nina weza kukuliza swali moja tu..?
padri akakubali.
yule muislamu akamuliza ni nini ufunguwo wa peponi..?
yule padri akababaika kusikia swali hilo na kukata kulijibu,lakini watu waliyokuwa kanisani wakamuambiya vipi yeye amekujibu maswali ishirini na mbili na wewe unashindwa kumjibu swali lake moja tu au hujuwi jibu lake.
padri akasema mimi najuwa jibu lake lakini naogopa.watu waliyokuwepo kanisani jibu swali hilo na sisi tunakudhamini usalama wako.
padri akajibu ufunguwo wa pepo ni ASH-HADU ANALAI ILA HAILA ALLAH WAANNA MUHAMMEDA RASULU ALLAH.

Baada ya hapo wakasilimu watu wote waliyokuwa katika kanisa pamoja na padri wao.

JE BADO TU UNATAKA KAMUSI NDIO UJUWE UKWELI UKO WAPI NA WAPI AU NI MOYO UMESHASHIKA KUTUU.

No comments:

Post a Comment