Friday, March 23, 2012

USIUZE MPAKA WANANCHI WAKAJUWA SHAMHUNA UZA TARATIBU YAKHEE!!!! AHA OK OK RAISI


Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akibadilishana mawazo na Waziri wa Ardhi Makaazi Maji na Nishati, Ali Juma Shamhuna huko katika Uzinduzi wa Mradi wa Maji safi na salama huko Selem Mkoa wa Mjini Magharibi ikiwa ni Mfululizo wa Ziara ya Rais Katika Mkoa huo.

huu shamhuna sindie aliaye sign makaratasi ya kuongezewa bahara tanganyika na watu sote tukashtuka kwa kufanya jambo kama hili na serekali pia ilishtushwa pia mpaka watu wakasema lazima ajiuzulu lazima ajiuzulu huyu hapa ndio kwanza anapeta hata habari hana na huyu cheni anaye sema atawashugulikia wanao hujumu nchi vipi tena mbona munakula sahani moja na muuwa taifa la umoja wa watu wa zanzibar...?kwali zanzibar itajikombowa ktk makucha ya wakoloni tanganyika..?kwali rai wa zanzibar atakuwa na haki kama rai wengine ulimwengunu..?kwali zanzibar itafika ktk maendeleo na demokrasi..?kweli rushwa,ubathirifu,na vingozi kuzibana aibu zao bila ya kufikishwa mahakama utakwisha zanzibar..?

No comments:

Post a Comment