Friday, June 29, 2012

KISHEIN HAKIOGOPI WAZANZIBAR ANAOGOPA!!!!!

KAMA wapo Watanganyika waliobisha ushiriki kamili wa Jeshi la Polisi la kikuria kutoka mrima katika kufanya uhalifu dhidi ya raia wa Zanzibar , kwa matukio ya 26-27 Mei, basi watafakari matukio mapya ya 17 Juni. Katika matukio yale, askari wa kikuria walipewa silaha na kusukumiza risasi za mipira na mabomu ya kutoa machozi. Wakashambulia ofisi za mawakili, gari za wananchi na nyumba za viongozi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu (JUMIKI).
Ni matukio ambayo hadi leo, polisi wa kikuria haijayatolea taarifa licha ya kupokea malalamiko mbalimbali ya wananchi.
Wananchi walipoteza mali zao: gari zilizoharibiwa kwa mabomu; na Chama cha Wanasheria wa Zanzibar (ZLS) wanaolalamikia kitendo cha polisi wa kikuria kuteketeza kwa mabomu ofisi za wanachama wao zilizoko Amani.
Bado Polisi hawa wa kikuria hawajaeleza chochote kuhusu vitendo vyao hivyo vilivyoonyesha dhahiri kuwageuka wananchi ambao kwa mujibu wa sheria na utendaji wa jeshi hilo , wanapaswa kuwalinda wao kama wananchi pamoja na mali zao.
Mpaka hapo, picha iliyojengwa kuhusu matukio hayo, ni kwamba Uamsho ndio walihusika kuhujumu mali za wananchi ni kichekesho tena kikubwa. Ni Uamsho pia wanaotajwa kuchoma makanisa, lile la Assemblies of God (TAG) la Kariakoo na jingine la Mwanakwerekwe hawakusema kuhusu msikiti walio upiga mabumo na kuvunja vioo vya madirisha.
Ni aibu kuwa Polisi hawa wa kikuria walichosema katika kadhia yote ile, ni hicho tu. Kwa bahati mbaya wanaoelewa dhamira mbaya za jeshi hili wanajua upi mchele wa kuchukua, na zipi pumba za kupuuza.
Kwa kuwa ni wao waliolikoroga, wataendelea kulinywa wao wenyewe. Wanasubiriwa wakatoe ushahidi wa tuhuma zao dhidi ya Uamsho.
Lakini, kama vile matukio hayo ni madogo na ya kuzua na ambayo wanaamini hayathibitishi vitendo vya uhalifu dhidi ya wazanzibari, Jeshi la Polisi  la kikuria likaingia tena katika utendaji wa ovyo wiki tatu tu baadaye – tarehe 17 Juni.
Polisi wa kikuria wenye silaha walikatiza msafara mrefu wa gari, pikipiki na vespa wa wafuasi wa Uamsho waliokuwa wakienda kijiji cha Donge ambako taasisi hiyo iliandaa mhadhara wa kutoa elimu kwa umma kuhusu Muungano.
Mhadhara huo uliokuwa umeruhusiwa kwa mujibu wa sheria zote, ulisimamishwa eneo la Mahonda, Msikiti wa Ijumaa, mita 100 hivi kutoka kilipo kituo cha Polisi Mahonda.
Mpaka wanafanikiwa kutawanya wafuasi wa Uamsho kwa mabomu ya machozi, risasi za mipira na marungu, watu kadhaa waliachwa wameumia na mali nyingi kuharibiwa.
Polisi wa kikuria, wakijua kuwa Uamsho wana vibali vyote vya kufanya mhadhara msikitini Donge Pwani, walijipanga baina ya msikiti wa Ijumaa na kituo cha polisi, wakataka rai wa zanzibar ndani ya nchi yao na  wana Uamsho warudi mjini je huu sio ukaburu.?
Mhadhara umekusudiwa kufanyika Donge, Polisi wanazuia msafara Mahonda, mwanzo wa jimbo la Donge, ambalo wanasiasa wanaojifanya wafalme, wanataka jimbo hilo liwe bikira kisiasa pamoja na mfumo wa vyama vingi kuishi kwa mwaka wa 20 sasa.
Polisi wa kikuria wanajua Uamsho hawajavunja sheria, wana umma mkubwa wa watu unawafuata nyuma na kila waendako kuhadhiri, kuwazuia katikati ya safari yao ni kuwachochea wakasirike.
Wana Uamsho wakasita. Wakashuka kwenye gari zao na vyombo vyao vingine. Wakabaki hapo kusubiri viongozi wao waje kutoa uamuzi. Kwa kuwa pale waliposimamishwa na polisi, pembeni kuna msikiti mkubwa, wakaamua baadhi yao kuingia msikitini kwa ajili ya sala na dua.
Viongozi walipofika Mahonda, na kupata taarifa ya kilichotokea na kinachoendelea, nao wakaamua kushuka. Wakawafuata viongozi wa polisi ili kujadiliana nao. Ndipo wanapewa taarifa ya amri ya mkuu wa mkoa kuzuia mhadhara Donge ati mkuu wa mkoa ila huu ni ufunguwo kwa watu wa Donge m/mungu anawaonyesha kuwa huyu si kiongozi mwema wa kuwaongoza kwa hiyo changuzi zijazo hata asimame vipi wasimchanguwe.
Lahaula, kufa hakuna breki. Pale pale milio ya risasi za mipira na mabomu ya machozi ikaanza kurindima. Askari  wa kikuria wakaingia msikitini bila ya kuvua viatu – hatua ya kunajisi msikiti. Wakapiga watu na kuwatupia matusi.
Mtu mmoja waliyemkuta chooni akijisaidia, alitukanwa kwa matusi ya nguoni. Akalazimishwa kutoka na kupita katikati ya msikiti bila ya kunawa au kusafisha miguu yake; huku akisindikizwa na askari wa kikuria ambaye naye hakuvua viatu vyake ambavyo wakati huu vilikuwa vimenasa uchafu wa chooni aliko mkamatu huyu mtu.
Polisi wa kikuria wakaingia upande wa wanawake na kuwapiga huku wakiwavua nguo na kuwatusi na kuwadhalilisha. Ni matendo yaliyoonyesha uchokozi wa dhahiri dhidi ya dini ya kislamu bayaa zaidi maraisi watatu nchini humu zanzibar tena wanaume ati wanaume imenyamaza kimya je ni waume au MAJIBWA KOKO HAYA MARAISI MATATU TULIYO NAYO NI MAKOKO YAMEUFYATA MKIA.polisi wa kikuria wanafanya wanavyo taka na Kuthibitisha kuwa polisi wa kikuria walishapanga ubaya, walisasambua mitaa ya Mahonda wanamokaa raia na kupita wakipiga wanaume huku wakiwavua nguo wanawake.
Hawakuchoka. Polisi wa kikuria wengine walitumwa kwenda hadi Donge ambako mhadhara ungefanyika na kupiga watu hata wale ambao walikutwa wakizungumza barazani kwao. Watu wazima nao hawakusalimika. Walipigwa na kutukanwa matusi mabaya mabaya.
Polisi wa kikuria hawakuchoka. Walizunguka miji ya Mkokotoni, Kivunge, Mkwajuni, Gamba na Chaani. Mote humo wakipiga risasi za mipira na mabomu ya machozi. Wakitukana watu wazima wanaume na wanawake.
Sasa mhadhara ulikuwa umepangwa kufanyika Donge, vyereje polisi wa wakikuria washambulie wananchi hata vijiji vingine hivyo...? Ndio kule kupanga ubaya na uhalifu dhidi ya wazanzibar kisha jana raisi anakuja na kibri chake cha kusema hamuogopi mtu hii nikuonyesha wazi kuwa yeye ndie anae watuma.
Leo, idadi ya watu wapatao 40 wanatajwa kuwa wanauguza majeraha ya risasi, mabomu na marungu. Wengi wengine wameumizwa kwa mateke.
Haji Khatib Ali wa Mahonda amechakazwa mguu kwa risasi na mzee Thabit Shaka wa Fukuchani amechakazwa kwa sababu ya bomu.
Askari wa kikuria walimpiga mtu mwingine lakini risasi ikaduru ilipokutana na simu iliyokuwa kwenye mfuko wa suruali na kunusuru kumchakaza paja. Simu hiyo ilipasuka na kusambaratika.
Huu ni uhalifu dhidi ya wazanzibar na maraisi watuta kimya ikulu wanakula kuku na raia wanateswa na jeshi la wakaburu weusi wa kitanganyika. Ni uchokozi na uchochezi dhidi ya wananchi wema wanaoipenda amani, wanaotii viongozi wa serikali yao ya umoja wa kitaifa ila inaonyesha viongozi hawa hawajali wananchi wao maana kama wanawajali wangeliwachukulia hatuwa za kinithamu askari hawa wa kikuria waote waliohusika kufanya haya ila hilo halipo inatuthirihikia kuwa maraisi wote watatu wako pamoja na wanajeshi wa kikuria kututia adabu ya kudai nchi yetu na kuendelea kukandamizwa na wakoloni weusi tanganyika.
Vitendo vya polisi wa kikuria vinasikitisha. Na athari zake ni kupandikiza uhasama kati ya askari hawa wa kikuria na raia wema wa zanzibar wanao dai nchi yao kuwa huru sio kutawaliwa na tanganyika. Kuna baadhi ya  askari wa kikuria hawajarudi makwao tangu hapo kwa kuhofia kushughulikiwa na wananchi kwa kuwa wameonekana wakipiga watu na kuripua kwa mabomu vespa na pikipiki zao.
Pia walipondaponda baiskeli za wananchi wanaoishi Mahonda waliokuwa wakisubiri nao kuondoka na msafara kutoka Mahonda kwenda Donge. Huko ni kuzikufuru neema za Mwenyezi Mungu. Hawi radhi kwa mambo haya.
Tatizo kubwa la Jeshi la Polisi la kikuria sasa ni kujichukulia sheria mkononi na kushambulia raia na kuharibu mali zao. Tatizo jingine ni kule kufanya yote hayo, halafu wakaeneza uongo kwa ulimwengu kuwa wanadhibiti wakorofi.na hii sio binu ngeni kwa polisi hata siria na misri askari wansema hivyo hivyo wanathibiti wakorofi kumbe wao ndio wakorofi na wezi maana wanaiba kila watakachoweza kukichukuwa.
Katika matendo hayo, ni nani hasa mkorofi..? Polisi wa kikuria wameamua kuasi raia.
Sasa watu wa Donge wanauliza: Wao ni nchi gani..? Inatumia sheria zilizo tofauti na sehemu nyingine ya nchi yao au wao wana taifa jingine..?
Wanayauliza maswali haya kwa viongozi wao – mwakilishi Ali Juma Shamhuna, viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wale wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na haswa HAYA MARAISI MATATU LAKINI SIO MARAISI KUMBE NI VIBARAKA WA TANGANYIKA NA JANA KISHENI KIMETHAHIRISHA KWA KUJIKAZA SIMUOGOPI NTU MIYEEE NA MAALIM NAYE NJONI MMTOE MAONIIIII NA BALOZI IDDI WAZANZIBARI MUSISEMEWA SEMANI WENYEWE INALILAHI WAINA ILEHI RAJIUNI WATU WANAMARAISI SISI TUNA MAJIBWA KOKO.
Polisi wanalia sasa maana shutuma zote zimewaelekea.

No comments:

Post a Comment