Sunday, July 22, 2012

SEREKALI YA SHEIN NA JESHI LAKE LA KIKURIA NI HARAMU KUSWALI NA KUWAOMBEA DUWA MAITI


masheikh walipokuwa wakiwaombea duwa watu walio fikwa na ajali ya kuzama kwa meli

waumini wakishirikiana na masheikh kuwaombea duwa waliofikwa na msiba wa kuzama meli hapa nchini zanzibar hizi ni picha kabla ya waumini hawa kupingwa mabomu na maji ya muwasho na jeshi la shein la kikuria kutoka tanganyika

jeshi la raisi sheini la kikuria likiwapinga mabumu waumini wa kislamu katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani kisa ati wanawaombea duwa watu na maiti walio zama katika meli

serekali hii ya madhalim ina magari ya muasho wa maji na mabomu ya kupinga rai wema serekali hii hii inajenga jela mpya ya kuwajaza waumini wa kislamu wasio na hati kisha wanasema ati serekali ilikuwa haina mafuta ya kutia kwenye boti za kwenda kuokowa watu walipokuwa wakizama na meli  serekali hii ni ya madhalim na wahuni wote kuanzia raisi shein na makamo wake wote na mpaka masheha wote ni wahuni majagili magaidi dumila kuwali wanao taka kuwamaliza wazanzibari wanyonge ila na ramadhani m/mungu tawaonyesha nyinyi vibaaka na vibaraka wakubwa wawatanganyika.

mji mzima wa zanzibar ulikuwa ukinuka moshi wa mabomu ya machozi na gasi yaliyorushwa na jeshi la raisi shein lakutoka tanganyika linalomlinda ili aishi kwa raha ikulu na kuendele kuwanyanyasa rai wasio na hati watu wengi walithani shein atakuwa raisi wa demokrasi ila mimi sikutaka kusema kwanza maana najuwa maraisi wa kiafrika wakitaka lao huwa wema mpaka wakakusujudia haswa ila wakishapata ndio hutowa makucha haya sasa waumini wanawaombea duwa dungu na jamaa polisi wanakwenda kuwapinga mabomu na maji ya muasho nini..? na msikiti kunajisiwa na wakuria mimi siwalaumi wakuria namlaumu huyu shein maana yeye anajuwa kila linalo tokea ila kabana kimya ikulu tamu weee ila mulize mzee karume kaika ikulu na sasa kalala kwenye changa pale kisiwa nduwi CCM je wewe ushafikiria hilo shein..?

No comments:

Post a Comment