Thursday, August 16, 2012

KINACHO WAUWA WABUNGE WA ZANZIBAR JIJINI DODOMA


Wabunge vibaraka wa watanganyika, ni kweli kabisa Kama wapo kwa niaba ya wananchi ni lazima walifanye Lille ambalo tunalitaka sisi.lakini sio kweli wewe wako kwa niaba yao na matumbo yao.pia wao  huenda huko dodoma just kuvisit na kutafuta wanawake wa kirangi ndio mabibi zao na wengi ktk wabunge wetu wanawatoto dodoma kwa hiyo wanapo ondoka hapo wanakua interested ile Kwenda kwa mahawara wao insteady kule kupeleka ujumbe wetu. Mimi nina rafiki yangu mjomba wake alikaa ubunge miaka 10, akaondoka kwa vyama vingi, kumbe kule alikua anafuga mrangi na siku nyengine akimleta zanzibar anamuweka wazazi guest house, na kazaa nae baadaye akamuoa na akaishi nae nyumbani, hata mwaka 1999 yule mjomba wangu wakaachana na kwa bahati akapata Maradhi akafa na baada ya miaka 4 yule mwanamke na yeye akafa na wakati huo ana bwana wa kibara nae pia akafa na inasemekana ukimwi ndio ulio muuwa na dalili zote alikua nazo kwani alikuja akauguzwa nyumbani yalipomzidi ndio akenda Kwao na kufa huyu mwanamke wa kirangi, na yule mjomba wa rafiki yangu pia nae alikufa ukimwi. Sasa wakawa wanapanga shauri kwenda kamchukuwa mtoto wao basi kuna mzee na yeye alikuwa mbunge hapa unguja mjini, jina tunamuhifadhi, alikuja nyumbani kwa rafiki yangu akasema na yeye kazaa nae Yule mwanamke baada ya kuachwa na mjomba na kweli alikua na kitoto cha miaka 3 mwanamme nae akatuomba tumchukue na yule wake, tukamchukua na tunae sisi hadi leo mwenyewe anamshuhulikia tuu, Kwani hataki mkewe ajue hapa hapa zanzibar. Sasa na yeye hatujui Kama hana ukimwi. Basi hizo ndio amali zao wanazokwendea huko, wapo pale kwa maslahi ya nafsi zao. Kwa vile washajuulikana wazanzibari wanayapenda mambo hayo siku za bunge hujaa maprostitute hapo bungeni wanasubiri tenda kwa wazanzibar na sio machogo wenzao wanaobahatika wanachukuliwa wakafanywa vimada na kukodiwa majumba, sasa wanapo ondoka hapo bungeni hua wana kwenda majumbani Kwao na wanapokelewa kuliko tunavyowapokea sisi si unajua malaya wanavyoyaweza? Basi tena husahau kabisa nini kilicho wapeleka dodoma hiyo ndio habari.

No comments:

Post a Comment