Sunday, December 2, 2012

DR KUMBI SHEIN NI MCHWAA ANAILA ZANZIBAR NA KILA KILICHOMO NDANI YA ZANZIBAR


masikini benti ajaibu languka kama banda la njiwa

moja katika faida za dr kumbi shein ndio hizi

dr kumbi shein ni mchwaa anaila zanzibar na kila kilicho ndani ya zanzibar mpaka avimalize

ccm oyeeee ccm oyeee ccm oyeeee maendeleo oyeee maendeleo oyeee

kidumu chama cha mathalim mpaka kidumikeeeeeeee

maendeleo hayooo yanaletwa na dr kumbi shein wananchi msijali ndio maendeleo hayoo yanaigia taratibu

No comments:

Post a Comment