Friday, January 11, 2013

KUANZIA MAPINDUZI 1964 ZANZIBAR PAKA LEO 2013 HII NDIO BARABARA ILIYO JENGWA PEMBA NA SMZ HAYA NDIO MOJA YA MATUNDA YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR 1964


BARABARA ya Mizingani – Wambaa Wilaya ya Mkoani Pemba, ambayo kwa sasa imeshakamilikia kwa kiwango cha lami, ikiwa ni moja kati ya matunda ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964

BARABARA ya Chanjamjawiri – Tunandauwa Wilaya ya Chake chake Pemba, ikiwa imeshakamilika kwa kiwango cha lami, na kwa sasa wananchi wakiitumia kwa shughuli zao mbali mbali za kimaendeleo, ambayo hii ni moja kati ya matunda ya Mapinduzi ya Zanzibra ya mwaka 1964

MWENYE MACHO HAMBIWI TIZAMA NUSU KARNE SASA ATI HII NDIO BARABARA YA KUJENGWA PEMBA NA NDIO SMZ INATAKA WATU WA PEMBA NA UNGUJA KUJIVUNI BARABARA HII NA MAPINDUZI DAAAAAAAAAAH AMAKWELI

HII NI BARABARA YA VIJIJINI KABISA KAMA KUSEMA KIDOTI HEBU INGALIYE NA HIYO YAHAPO JUU YA PEMBA KWELI JAMANI WAZANZIBARI DIKTETA HILI SMZ TUTALILEA MPAKA LINI...?

JIONE BARABARA ZA VIJIJINI HATA MAGARI HAKUNA KUNAMAFARASI LAKINI ONA BARABAR ILIVYO SIO SMZ WANATUTILIYA FUMBI KISHA WANASEMA BARABARA IMEMALIZIKA.

BARABARA YA VIJIJINI HII UNAONA MABATA YANARANDARANDA TU HAYA HII NZURI KULIKO HATA YA MKOANI NA WETE NA CHAKE CHAKE NA HII NI KIJIJINI WAZANZIBARI AMKENI NYIE WACHENI KUDANGANYIKA NA UWONGO WA DIKTETA SMZ.

No comments:

Post a Comment