Saturday, January 5, 2013

UAMSHO WATIWA JELA HUKU TANGANYIKA IKITULETEA NABII MWANAMKE(MAMA KAHABA LAJA ZENJI NAKUUJITA NABII) ASTAGHAFIRU ALLAH


Kwanza nianze kwa kusema ‘astaghafiru lllah astaghafiru llaah.
Pili niseme kuwa, as I said it again and again, kuwa kila mwenye upuuzi wake anakuja kuufanya hapa Nchini kwetu Zanzibar.
Kuna mama mmoja amejitokeza na kujitangaza au kusema kuwa yeye ni ‘Nabii” llah astaghafiru allah na ameshawahi kufika uwingu wa saba…..na kuona….(almuradi kufru siwezi kusema).
Uzuri wa suala lenyewe limefika ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar na baadhi ya ulamaa wamekutana naye mama huyu (Nabii). Ubaya wa suala lenyewe, hawa wooote pamoja na elimu zao, wameshindwa kuchukua hatua dhidi ya kufru hii. Wamekubali kusalim amri, uislamu wao, imani yao, na kuacha kumuogopa Allah ili wairidhie serikali, na CCM na serikali ya Mkoloni wetu Tanganyika.
Hata hivyo, ofisi ya Mufti imetoa kauli kuwa mama huyu aache kwenda misikitini na kuhubiri kweli hii inatosha kusema kuwa asihubiri misikitini tu...? ikiwa tayari mushajuwa kuwa anakufuru.
Pili wametoa fatwa kuwa ahamishwe na kurejeshwa kwao Nchini Tanganyika. Suala hilo limepingwa na Immigration na wamedai kuwa yeye ni Mtanzania hawezi kuondoshwa kutoka Zanzibar to Tanganyika. Suali linakuja, mbona sheikh Kurwa amehamishwa kutoka Zanzibar na kupelekwa Tabora...?
Sheikh Kurwa ana pacha mwenzake anaitwa Dotto,yupo mpaka leo Chake Chake, zamani akifanya ATC — shirika la Ndege,kisha alikuwa anauza duka la michezo. Ahh…hahaha nicheke kwanza  hawa ni pacha baba mmoja/mama mmoja: chajabu ni mmoja ni Raia na mmoja si Raia na kafukuzwa z,bar na kurudishwa Tabora.
OK, huyu mama anayesema kuwa ni Nabii pia Immigration wanasema hawezi kuhamishwa kutoka sehemu moja ya TZ hadi nyengine. Mapalala aliwahi kufanyiwa deportation hiyo. Abdullah Rashid alipokuwa RC Kaskazini Unguja, alizuia watu wa upande mmoja wa kisiwa cha Unguja kwenda kwengine. Deportation act ya ndani ipo, na ndio moja ya sheria mbaya za serekali hii ya SMZ (draconian law, na hata report ya Nyalali ilipendekeza ifutwe).
Turudi kwa MAMA anae jitaa ‘Nabii”. Huyu Immingration wanasema hawezi kuwa deportated just kwa sababu amekuja kuwadhalilisha na kuwatusi wazanzibari na uislamu na serikali inamtetea kwa hali zote. Hii ndio hali inayotukabil jamani, na kama hatutaki kuamka basi hatuamki tena. Huyu mama ni murtad – lakini kaimu katibu wa Mufti anaitwa Jongo anamtetea just kwa sababu ni mtu wa kwao KIMBIJI (mndengereko mwenzake); ahhhh…. ametoka Soraga amekuja Jongo — hao kwa hao.
Huyu mama amekuja (kahaba mmoja tu) amekuja na kujitagazia kuwa yeye ni “nabii’. na sisi Tumekubali. Tumeambiwa katika quran tukufu kuwa Mtume Muhammad SAW ndiye wa mwisho, tunahoji nini au tunataka nini zaidi ya hilo...? leo aje janajike pumbavu kama hili kahaba la kupepea asema yeye ni ‘nabii’ na sisi tumekaa tunakodoa macho tu.je imani zetu ziko wapi..?au sisi ni waislamu wa  aina gani..?
Jana nimezungumza na sheikh mmoja — yeye anasema ‘aah kijana usiwe na wasi wasi huyu anatafuta mume tu’ daaah nilipingwa na butwaa mimi nazungumza mambo ya mshenzi huyu mama kuithalilisha dini sheikh anakejeli. Huyu ni sheikh kweli au ndio hao masheikh ubwaabwaa mjinga hayuko serious kabisa, yeye analetea mambo ya kipumbavu ooh huyo mama anataka mume mwanamke anaifedhehi dini na kujita mtume wewe unasema anataka mume haya muowe basi wewe...?
Angalia: mama huyu aliwahi kuzungumza na rafiki yangu mmoja,miaka miwili iliyopita;rafiki yangu akamuliza una miaka mingapi..? jibu alisema ana miaka 40; kuna msikiti ameingia jana pia amesema kuwa ana miaka 40. Ina maana ‘nabii’ huyu hakui miaka yake...?
Tuendelee kuwakamata UAMSHO, na tuwaenzi ‘manabii’ kutoka Mkuranga na Kimbiji kwa mkoloni mweusi.

No comments:

Post a Comment