Tuesday, April 16, 2013

NCHI YA TANGANYIKA YAJIFANYA MAREKANI YA AFRIKA.

536e162294d9e846ae97458c9faec1fa.jpg
HAWA NI MAJESHI WA TANGANYIKA WALIOULIWA MUZAMBIQI

KIONGOZI W M23 NA BODI GADI WAKE WAKIOHOJIWA

HAWA NDIO JESHI LA M23 WA CONGO WANAO WASUBIRI JESHI LA TANGANYIKA KWENDA KUEKANA SAWA NA KUONYESHANA YUPI KIDUME

HAWA PIA NI JESHI LA M23 LA CONGO WANAO WASUBIRI WANAJESHI WA NCHI YA TANGANYIKA KUONYESHANA NANI KIDUME WA NCHI YA CONGO

VIJANA WA M23 WA CONGO WAKITUNZA HIMAYA YAO WALIO ICHUKUWA KUTOKA KATIKA MIKONO YA JESHI LA SEREKALI LA CONGO.

VIJANA WENYE HASIRA SANA WA M23 WA CONGO

VIJANA WA M23 NA MATEKA WAO

HAWA NDIO VIJANA WA M23 WAKIZUNGUKA ZUNGUKA NA GARI LAO KUHAKIKISHA KUWA MJI WALIO UTEKA HAUNA ADUI YAO

VIJANA WA M23 WAKIFURAHI BAADA YA KUTEKA MJI

WAKIENDELE KUSHEREHEKEA VIJANA WA M23

Hawa ni vijana wa M23 nchini congo vijana hawa wamekuwa katika mapigano na majeshi ya nchi yao kwa muda mrefu sasa na mara nyingi huekwa vikao kusuluhisha lakini bado kumekuwa na mivutano baina yao na wanajeshi wa nchi yao pia kuna wanaosema kuwa Rwanda inawasaidia wanajeshi hawa ila hakuna ushahidi wowote wakusibitisha kama ni kweli Rwanda inawasaidia vijana hao.

Sasa U.N. nayo pia imekuwa na majeshi yao nchini congo kwa muda mrefu sana bila ya mafanikio yoyote mpaka sasa imeamuwa kusema inahitaji mejishi wengi zaidi nchini humo kuweka amani lakini tayara kuna majeshi ya U.N. nchini humo kuliko nchi nyengine yoyote ambayo ina wanajeshi wa U.N. 

Na hivi karibuni U.N.imeitaka nchi ya Tanganyika na Afrika ya Kusini kupeleka majeshi yao nchini humo kuongeza guvu kazi na kupambana vikali na vijana wa M23 na msemaji wa M23 alizungumza siku chache zilizo pita kuwa hivi ni vita vya wacongo haiwahusu Watanganyika wala Afrika ya Kusini kuja hapa ni bora wasije huku kabisa ila kama hawatasikia na kuamuwa kuja huku sawa watatukuta sisi tunawasubiri kwa hamu.
NAE
Msemaji wa Serikali ya Tanganyika, Assah Mwambene,Serikali haitasita kupeleka askari wake Jamhuri ya Demokrasia ya Congo kwa ajili ya kukabiliana na waasi wa kikundi cha M23 .
Imesema hatua ya kikundi hicho kuionya Tanganyika kutopeleka askari wake huko ni ya kutapatapa.jana asubuhi kuwa Tanganyika haitishiki na kauli ya waasi ya kushambulia askari wa Tanganyika.
Alisema vitisho hivyo ni dalili za wazi kwamba waasi wanalijua Jeshi la Tanganyika ndio maana wanatapatapa.Mwambene alisema Tanganyika imeamua na itafanya kazi hiyo kwa mwavuli wa Umoja wa Mataifa, lengo likiwa ni kuleta usalama katika eneo la Mashariki ya Congo.Msemaji huyo alisema wanajeshi wa Tanganyika wataungana na wanajeshi wa Afrika Kusini na Malawi katika operesheni hiyo muhimu.
Kauli hiyo inafuatia madai kuwa uongozi wa kikundi hicho, umwandikia Rais Jakaya Kikwete, kumtaka afikirie upya wazo la kuwapaleka askari wa Tanganyika katika Brigedi ya Umoja wa Mataifa ya kuwalinda raia katika eneo la Mashariki ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo. 

No comments:

Post a Comment