Wednesday, May 1, 2013

SHEIN AJUWA WAZI HATASHINDA UCHANGUZI WA 2015 KAMA ALIVYOKUWA HAKUSHINDA MWANZO AFANYA UTEUZI WA TUME YA UCHANGUZI ITAKAYO MUINGIZA IKULU KWA LAZIMA SIO KWA KURA ZA WANANCHI WA ZANZIBAR


 

QURAAN ULIYO ISHIKA KUAPIA NDIO SHAHIDI SIKU YA KIYAMA KWA THULMA,WIZI,KUTOKUWA MUADILIFU,KHIYANA,MAUWAJI,KUWAFUNGA WATU WASIO NA HATIA N.K.ZAIDI YA WANANCHI WA ZANZIBAR.                                                       

Waziri asiyekuwa na wizara maalum wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Kumbi Ali Mohamed Shein, kwa mujibu wa uwezo aliopewa Chini ya Kifungu cha 119 (1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, amemteua Bw. Jecha Salim Jecha kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar.Aidha amewachagua wafuato kuwa Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.

1 –  Balozi Omar Ramadhani Mapuri      – Mjumbe
2–  Bw. Salmin Senga Salmin               –  Mjumbe 
3 –  Bw.   Nassor Khamis Mohammed       – Mjumbe 
4 –  Bw.  Ayuob Bakari Hamad                 — Mjumbe 
5 –   Jaji . Abdulhakim Ameir Issa             —  Mjumbe 
6 —  Bw.  Haji Ramadhan Haji                  —   Mjumbe    
Uteuzi huo umeanza leo tarehe 30 Aprili 2013    
Pia Waziri asiye na wizara maalum wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Kumbi Ali Mohamed Shein, amemteuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja 
Kwa mujibu wa uwezo aliopewa chini ya kifungu cha 61 (1) cha Katiba ya Zanzibar ya 1984, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, amemteuwa Dkt. Idris Muslim Hija kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja. 
Uteuzi huo umeaza leo 30-4-2013  
Viongozi hao wanatarajiwa kuapishwa siku ya jumamosi 4-4-2013, saa 2.30 Ikulu ya Zanzibar.

No comments:

Post a Comment