Tuesday, July 2, 2013

HATA MUMLETE OBAMA HAPA BADO WAZANZIBARI TUNATAKA NCHI YETU


Kada wa CCM ajulikanae kwa jina la Mzee Mabati wa Mgambo, akivua uanachama wa chama cha CCM huku akiashiria kwa kuvuwa t.shirt ya chama hicho cha CCM kuwa kakivuwa na kujiunga na chama cha CUF katika mkutano wa hadhara uliofanyika Upenja jimbo la Kitope imesadikiwa kuwa watu zaidi ya 400 waliuvuwa uwanacha wa chama cha CCM na hapo hapo kujiunga na chama cha CUF.
8E9U8352
Dr Shein akimuamkia Obama katika uwanja wa denge nchini Tanganyika kulia ni Raisi wa nchi hiyo ya Tanganyika na kushoto ni waziri mkuu wa nchi ya Tanganyika

TUACHIWEE TUPUMUWEEE TUACHIWEE TUPUMUWEEE TUACHIWEE TUPUMUWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

WAKOMBOZI WA NCHI YETU YA ZANZIBAR.NCHI YA ZANZIBAR KWANZA SHENGESHA BAADAYE TUACHIWEE TUPUMUWEEEEEE



Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Rais wa Marekani Barack Obama, katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika jana, Obama akiwa nchini Tanganyika katika  ziara ya siku mbili.

 

No comments:

Post a Comment