Friday, August 9, 2013

TANGANYIKA NI NYANI ASIYE ONA KUNDULEE


Likitoke Zanzibar wanalivalia njuga wakati yao Watanganyika wanayaficha.

1. Siku hizi takribani kila wiki au mwezi wanakamatwa Watanganyika kuanzia wawili na kuendelea kila kona ya dunia au tuseme kila kona ya ulimwengu, wanakamatwa na madawa ya kulevya,(DRUGS) na wanaondokea pale pale DAR airport; yao kubwa ya Kitanganyika hii sio ‘news’..??  wala aibu wala kuvunja amani na utulivu...??  Ni sawa, so long wamefanya Watanganyika. Mpaka Rais wao nchini Tanganyika, Kikwete amekaa kimyaaaaa, kama hakuna kitu.


2. Kuna makontena mengi ya madawa ya kuelvya yamekamatwa nchi Fulani (jina kapuni) yametokea bandari ya DAR  (Serikali Tanganyika, kimyaaaaaaaa), hili ni la jana na juzi tu, sio yale ya miaka ileeeee. La hasha, jana na leo Bob Ally.


3. Kuna wafanyabiashara wanapigwa risasi kama mithili ya kuuwa popo nchi Tanganyika huo kwenye magazeti wa kwenye mablog yao ya Kitanganyika kimyaaaa, na yule mhadhir wa UDSM jana tu, ameuwawa kikatili (polisi kimyaaa, na Said Mwema bado ni (IGP) though haya yote yanamgusa yeye moja kwa moja na Nchimbi bado anabaki kama waziri wa mambo ya ndani. Nakumbuka Mwinyi, Natepe na wengine wengi walijiuzulu kwa makosa madogo madogo tu, seuze kama haya.


4. Sheikh mmoja ametiwa acid kule Arusha (nadhani ilikuwa ni arumeru kama sikosei wa Bakwata) kimyaaaa mbona hamuyavalia njuga kama munavyo yavaliya njuga ya Wazanzibari.


5. Intelligence ya hapa na polisi yake, imejifunga pahala pamoja tu: Uamsho au udini na ikiwa itakwenda mbali basi vyama vya upinzani kuvionea — kwa nini wasiende mbali katika uchunguzi wanu..?  (watuambie cause ya kutekwa Sheikh Farid pia ya Sheikh wa kitope kupigwa mapanga ya mauwaji wa padre Evarist Mushi, kupigwa risasi kwa padre Mkendo, na hawa waingereza wawili: nini kinaendelea ndani ya kanisa hapa nchi  Zanzibar, kwani makosa siku zote iwe wanasingiziwa waislamu tu kitu kidogo wislamu hao mtu akijikuna waislamu hao wamemkuna na kupakazia ‘muslim extremists tu, je, hakuna extremism katika christianinty,..?? au hakuna dirty game ndani ya kanisa, foul play……..?? ) hebu polisi mtuambie mlinasa nini siku ya maziko ya padre Mushi (funueni pazia kidogo tujue): ukimya wa taasisi zetu ndio inafanya wengine tuendelee kuwa na uhakika kuwa haya yote yanayofanywa basi yanafanywa na nyinyi polisi na sio mtu mwengine maana kama ni mtu mwengine mbona hamuwakamati...???  lakini kwa kuwa ni nyinyi ndio mlio fanya sasa mutajikamata vipi..???


6. Mfanya baishara DAR nchi Tanganyika ametiwa acid, jana yule tajiir wa mererani pia alipigwa risasi ishirini — polisi kimyaaaaa, na bado Said Mwema yupo, bado Nchimbi yupo wanakula mishahara ya bure wakipunga upepe wa ostabey beach…….hee jamani huu uoza umeanza top-down ndani ya uendeshaji wa serikali ya Tanganyika ila husiki wandishi wa HABARI wala TV  za Kitanganyika kusema jambo lakini likitoke Zanzibar basi hapo hata muandishi aliyekuwa kastaff atarudi kazini.


7. Tukumbuke kuwa sisi Wazanzibari wenyewe tumeruhusu ‘vikundi’ viovu vingi hapa nchi kwetu Zanzibar kwa nini nikasema hivyo tumeondowa paspoti watu wanaingia kama wanao kuja kutupa taka jaani pia kwa jina la ‘vyama vya siasa’, na tusisahau kuwa tumekuwa na eti na polisi jamii kila kona hapa Zanzibar, lakini uhalifu unazidi kwa nini...??? na hasa mji mkongwe…..hawa polisi jamii ni nani, tumewaamini vipi — sawa ‘trust them, but also control them’, tumewaachilia sana, na hasa mji mkongwe, mpaka sasa wameota pembe wanakusanya kodi, malipo kila kona ya mji under different names. Tunaachilia uwoza wa kila aina katika jamii yetu, matokeo yake ndio haya. Tumeruhusu uvunjaji wa sharia, sasa tunavuna matokeo yake. n.k n.k n.k nk……….

3 comments:

  1. ucha usenge wewe bahati yenu sheria za kimataifa zinatubana lengo la Tanganyika isengekuwa sheria za umoja wa mataifa lilikuwa ni kusafisha takataka zote za kiarabu kwenye hicho kisiwa ili utawala wa mtu weusi usimame!

    ReplyDelete
  2. bila kuja waharabu hivyo visiwa vilitakiwa viwe sehemu ya tanganyika msenge wewe na hapo zanzibar tutahakikisha wanatawala wazanzibar wale weusi wenyewe na sio nyie wasenge wenye asili ya kiarabu.

    ReplyDelete