Wednesday, September 4, 2013

SHEIKH AZZAN KHALID HAMDAN AMELAZWA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA

Photo: Bismillahir Rahmanir Rahiim

TAARIFA MAALUM
Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu, Zanzibar (JUMIKI), inawataarifu waislamu wote na wapenda haki kwa ujumla kuwa Sheikh Azzan Khalid Hamdan amelazwa hospitali ya mnazi mmoja kitengo cha mahabusu baada ya kuumwa kwa muda sasa akiwa kizuizini.

JMIKI, inawaomba waislamu kumuombea shifaa sheikh wetu ili tuendelee na harakati kwa mslahi Dini yetu.

TAARIFA MAALUM


Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislamu, Zanzibar 

(JUMIKI), inawataarifu waislamu wote na wapenda haki 

kwa ujumla kuwa Sheikh Azzan Khalid Hamdan amelazwa 

hospitali ya mnazi mmoja kitengo cha mahabusu baada ya 

kuumwa kwa muda sasa akiwa kizuizini.

JMIKI, inawaomba waislamu kumuombea shifaa sheikh 


wetu ili tuendelee na harakati kwa maslahi ya Dini yetu.

No comments:

Post a Comment