Wednesday, January 1, 2014

JE DUWA ZA ASKOFU NA WACHUNGAJI WA KIKIRISTO ZITA MUOKOWA KOMANDO WA UDONGO SALMIN AMOUR JUMA KUTOKANA NA DHULMA,UNYANYASAJI,MATISO,UTHALILISHAJI NA MAUWAJI YA WAZANZIBARI..????

Mratibu wa Dua Maalum ya kuiyombea Zanzibar kwenye mkesha wa mwaka mpya Allen Mbaga kutoka kanisa la Tanzania fellowship of churches (TFC) aliesimama kulia akiwatambulisha wachungaji waliofika kwa Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt Salmin Amour Juma kwa lengo la kumtembelea na kumuombea nyumbani kwake Migombani, Zanzibar
MRATIBU WA DUA MAALUM  ALLEN MBAGA KUTOKA KANISA LA TANgANyIkA FELLOWSHIP OF CHURCHES (TFC) ALIESIMAMA KULIA AKIWATAMBULISHA WACHUNGAJI WALIOFIKA KWA RAIS MSTAAFU WA NCHI ya ZANZIBAR DKT SALMIN AMOUR JUMA KWA LENGO LA KUMTEMBELEA NA KUMUOMBEA dua NYUMBANI KWAKE MIGOMBANI,nchini  ZANZIBAR
Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma aliyevaa kofia nyeupe akiwapa historia ya Bara la Afrika kabla ya ukombozi wachungaji wa Zanzibar walipofika nyumbani kwake kumtembelea
RAIS MSTAAFU WA ZANZIBAR DKT. SALMIN AMOUR JUMA ALIYEVAA KOFIA NYEUPE atii na yeye AKIWAPA HISTORIA YA BARA LA AFRIKA KABLA YA UKOMBOZI WACHUNGAJI wa kanisa kutoka nchini tanganyika walio letwa hapa nchini ZANZIBAR WALIPOFIKA NYUMBANI KWAKE KUMTEMBELEA na kumuombea dua
Wachungaji wakiongozwa na Askofu Fabian Obedi kutoka kanisa la Pentekosti Zanzibar wa tatu kushoto wakimuaga Rais mstaafu wa Zanzibar Dkt. Salmin Amour Juma mara baada ya kumaliza kumuombea nyumbani kwake Migombani Zanzibar. 
Picha: Makame Mshenga, Maelezo - Zanzibar
WACHUNGAJI WAKIONGOZWA NA ASKOFU FABIAN OBEDI KUTOKA KANISA LA PENTEKOSTI kutoka nchini tanganyika ambao sasa wanajaribu kuwa na makazi yao nchini ZANZIBAR WA TATU KUSHOTO WAKIMUAGA RAIS MSTAAFU WA NCHI YA ZANZIBAR comando wa udongo MARA BAADA YA KUMALIZA KUMUOMBEA dua NYUMBANI KWAKE MIGOMBANI nchini ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment