Thursday, December 18, 2014

MOJA KATIKA MAJAMBAZI YALIO IBAA MMILLIONI YA ESCROW FREDERICK WEREMA LAAMUWA KUJIUZULU ILI SASA LIKATUMIYE HIZO PESA VIZURI


Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.


NAMNUKU...Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

bora nicheke kwanza hahahaha uaminifu na uadilifu uko wapi na jitu lishaibaa mpaka linadhrika kisha wewe unamuita muaminifu na muadilifu......?

HATA AKIJIUZULU WASHTAKIWE PIA NA PESA WARUDISHE ILI LIWE SOMO KWA WENGINE WASHAZOEA HAWA MAJAMBAZI

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment