Saturday, April 4, 2015

SALUM MSANGI KAANZE NA KISONGE KWANZA KABLA YA KUPIGA MARAFUKU VYAMA AU MAKUNDUCHI IMEWATIA KIWEWE

Afbeeldingsresultaat voor maskani ya kisonge
SALUM MSANGI UNAPAJUWA KISONGE.....? NI KARIBU NA MADEMA HABU KASOME ULE UBAO WAO KWANZA KISHA UNGOWE NA UWAPINGE MARUFUKU WAO KWANZA


Naibu Mkurugenzi wa Upelelezi na Makosa ya Jinai Zanzibar 

Kamishna Msaidizi Mwandamizi Salum Msangi.

SALUM SANGI KISONGE UNAPAJUWA AU HAUJAPATA 

KUSIKIA KAMA KUNA KISONGE....? JE UTAWAPIGA 

MARUFUKU.....??


Polisi mjini hapa tunasikia imevipiga marufuku atii vyama vyote vya siasa kuwatoa wafuasi wao kutoka wilaya moja kwenda nyengine kuhudhuria mikutano ya hadhara polisi polisi polisi kweli hii au kwakuwa munaona mikutano ya CCM haijai tena ndio sasa mnajidai kupiga marufuku vyama vya siasa kuchukuwa wanachama wao katika mikutano tafauti nchini je hii sheria imetoka wapi.....? Hatua hiyo atii ina lengo la kudhibiti ugomvi wa mara kwa mara kati ya wafuasi wa CCM na CUF.(sio kweli ni lini CUF imeishambulia CCM...? daima ni CCM ndio inayo ishambulia CUF. Akizungumza na waandishi wa habari hapa nchini Zanzibar, atii mkuu wa upelelezi na makosa ya jinai nchini Zanzibar, Salum Msangi, alisema agizo hilo limefuatia tukio la hivi karibuni ambapo wafuasi wa CUF walishambuliwa na watu wasiojulikana.((sasa wewe simpelelezi si upeleleze ili uwajuwe hao walio fanya hayo kisha uwafikishi kwenye vyombo vya sharia watiwe adabu wengine wakisikia watacha kufanya hivyo ila nyinyi polisi tunawajuwa mumo na CCM na ndio maana CCM anafanya itakavyo.)) Akitoa ufafanuzi huo alisema tayari jeshi hilo limeshakaa pamoja na viongozi wa vyama vya siasa na kukubaliana na kuweka maadhimio ambayo atakaekiuka atachukuliwa hatua za kisheria.((tupe majina ya viongozi mulio kaa nao na kukubaliana hayo katika vyama vya siasa.....???)
SALUM MSANGI PIGA MARUFUKU NA WAFUTE KAZI POLISI WOTE WANAO WANYANYASA WANANCHI WOTE WASIO NA HATI
Alitaja maadhimio hayo ni pamoja na kufuata sheria za usalama wa barabarani, kuepuka kupakia watu katika magari kupita kiasi, kuepuka kufanya maandamano kabla na baada ya mkutano na kuepuka kuandika mabango yenye ujumbe wa matusi na yanayoashiria uvunjifu wa amani. “Tukiwa tunaelekea katika uchaguzi mkuu tumekuwa tukishuhudia viashiria vya uvunjifu wa amani katika maeneo mbalimbali ikiwemo kuchomwa moto majengo ya vyama vya siasa, wafuasi kujeruhiwa na mabango yenye ujumbe tofauti ambao unaashiria uvunjifu wa amani,” alisema Msangi. Alisema kama vurugu zitaendelea wataishauri serikali kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa mpaka tume ya uchaguzi itakapotangaza kufanya mikutano kwa ajili ya kampeni za uchaguzi mkuu. Alisema maadhimio hayo endapo yatatekelezwa wataepusha ajali za barabarani, kuendelea na hali ya amani na utulivu na kuzuia fujo katika maeneo ambayo misafara hiyo hupita kutokana na mihemko, jazba za kiasia.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO

No comments:

Post a Comment