Monday, May 4, 2015

DIKTETE PIERRE NKURUNZINZA ANAIPELEKA WAPI NCHI YA BURUNDI......????


DIKTETE PIERRE NKURUNZINZA ((KULIA)) AKIWA NA MKEWE, DENISE , FIRST LADY WA NCHI YA BURUNDI SIJUWI KAMA DENISE ANAJUWA KAMA MUMEWE NI DIKTETE...???

VIJANA WASIO TAKA UPUMBAVU WA MARAISI KUJIONGEZEA MUDA WA KUTAWALA WAKIANDAMANA KWA GUVU KABISA

WANANCHI WANAFUATA KATIBA LAKINI RAISI WA BURUNDI DIKTETE PIERRE NKURUNZINZA ANAVUNJA KATIKA SASA HUYU NI KIONGOZI GANI....??

MPAKA SASA INASADIKIWA WATU SITA WAMAUWAWA HUKO NCHINI BURUNDI KATIKA MANDAMANO YANAYO ENDELEA NCHINI HUMO.

MANDAMANO YAPAMBA MOTO ZAIDI HUKO NCHINI BURUNDI KUMPIGA DIKTETE PIERRE NKURUNZINZA NA HAWA POLISI KAMA MBWA TU BADALA YA KUMFUKA HUYO RAISI ANAYE VUNJA KATIKA WANAUWA RAI WASIO NA HATA KWALI KAZI YA POLISI NA KAMA MBWA
Waandamanaji kutoka vyama vya upinzani waandamana mjini Bujumbura, Burundi.
WANANDAMANAJI WA NCHI YA BURUNDI WAKIENDELEA KUANDAMANA

MOJA WA WANDAMANAJI WA NCHI YA BURUNDI AMBAYE NI MLEMAVU  KATIKA MANDAMANO YANOYO ENDELEA NCHINI HUMO BURUNDI

VIJIBWA VYA DIKTETE  PIERRE NKURUNZINZA NA MAGWANDA YAO YA BULU

WAANDAMANAJI WA NCHI YA BURUNDI WAKIENDELEA KUANDAMANA KUPIGA RAISI KUJIONGEZEA MDA WA KUTAWALA NCHI YA BURUNDI WAKATI KATIBA INASEMA NI MISIMU MIWILI TU INAONYESHA WZI RAISI WA BURUNDI ANAVUNJA KATIBA.

WANANCHI WA NCHI YA BURUNDI WAKIWA KATIKA HAMKANI YA KUKIMBIA NCHI YAO BAADA YA RAISI WA KUGEUKA KUWA DIKTETE NA KUTAKA KUJIONGEZEA MDA WA KUTAWA WAKATI WANANCHI WENGI HAWATAKI TENA AENDELE KUTAWALA NCHINI HUMO ISIPOKUWA MAWAZIRI AMBAO WAKO KATIKA CHAMA CHAKE WEZI WENZAKE WANAO IBAA PESA NA MALI ZA UMMA NA KUJITAJIRISHA.

WAKIMBIZI KUTOKA NCHI YA BURUNDI WAKIJIANDIKISHA MPAKANI MWA NCHI YA TANGANYIKA BAADA YA KUKIMBIA NCHINI KWAO KUTOKANA NA MANDAMANO YA WANANCHI KUMPINGA DIKTETE RAISI
Waandamanaji nchini Burundi Jumanne wameendelea na maandamano na kukabiliana na polisi VIJIBWA VYA DIKTETE  PIERRE NKURUNZINZA kwa siku ya tatu wakipinga juhudi za rais wa nchi hiyo za kushikilia uongozi kwa muhula mwingine wa tatu.
Takriban watu sita wamekufa baada ya ghasia kuzuka tangu Jumapili,baada ya chama tawala cha CNDD-FDD, ambacho kimetajwa kuwakandamiza wapinzani wake, kumteua Rais Pierre Nkurunziza kama mgombea wake kwenye uchaguzi wa rais unaotarajiwa kufanyika Juni 26.
Mwanahabari wa Shirika la Habari la Ufaransa, AFP amesema kumekuwa na maafisa wengi wanaoshika doria kwenye mji mkuu Bujumbura huku mamia ya waandamanaji wakitawanywa na kuzuiliwa kuingia kwenye mji wa nchi yao wenyewe.
 DIKTETE Nkurunziza aliekuwa kiongozi wa waasi wakati mmoja ashasahau kwa utamu wa madaraka, amekuwa madarakani tangu 2005. Viongozi wa upinzani pamoja na vikundi vya kutetea haki za binadamu wanasema juhudi za  DIKTETE Nkurunziza za kushikilia uongozi zinakiuka katiba na pia mkataba uliositisha mapigano ya 2006.
Maelfu ya raiya waliuwawa kwenye mapigano ya miaka 13, na kumekuwa na hofu kwamba hali ilioko ya kisiasa, huenda DIKTETE Nkurunziza ikatumbukiza nchi hiyo kwenye mapigano tena kwa utamu wa kutaka kubaki madaraka.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment