Tuesday, May 12, 2015

SHEIKH FARID NA MASHEIKH WOTE WALIO GEREZA LA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA NA WAZANZIBARI WAMTAKA KAMISHNA WA NCHI YA ZANZIBAR AJIELEZE KWA NINI ALIAMUA KUWALETA KATIKA NCHI YA TANGANYIKA KUWASHTAKI


WAKOMBUZI WA NCHI YA ZANZIBAR WASIO TAKA NCHI YAO KUMEZWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ZANZIBAR KWANZA TUACHIWEEE TUPUMUWEEEEEEEEEEEEE.

KAMISHNA WA POLISI NCHINI ZANZIBAR HAMDANI OMAR MAKAME AKILA KIAPO KWA QURAN KISHA UNASHIRIKI KUWASHIKISHA MASHEIKHE NA KUWAPELEKA KWA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MASHEIKH WAKADHIBIWE,WAMETHALILISHWA UTAMUAMBIA NINI M.MUNGU WEWE SIKU YA KIYAMAA....?? WEWE NI KAMISHNA TU NYERERE YUKO WAPI,MZEE KARUME YUKO WAPI,HITLER YUKO WAPI,FIRAUNI YUKO WAPI ITAKUWA WEWE KIJIKAMISHNA RUDI KWA MOLA WAKO USIHADAIKE NA DUNIA.

WAKOMBUZI WA NCHI YA ZANZIBAR WASIO TAKA NCHI YAO KUMEZWA NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ZANZIBAR KWANZA TUACHIWEEE TUPUMUWEEEEEEEEEEEEE.
      
KIONGOZI NA MKOMBOZI WA NCHI YA ZANZIBAR WA UAMSHO wa JUMUIYA YA MAIMAMU NCHINI ZANZIBAR , Sheikh Faridi Hadi Ahmed na wenzake 22 ambao wote ni Wazanzibari waliobambikiwa tuhuma  atii za  ugaidi na Serekali ya Makaburu Weusi Tanganyika na kutolewa nchini kwao Zanzibar na Kupelekwa huko nchini Tanganyika kwa Mkoloni Mweusi Tanganyika na kufungwa jela na kuteswa Wazanzibari hao wamegoma kula katika  gerezani hilo la Mkoloni Mweusi Tanganyika.

Wazanzibari hao wamegoma kula na wamedai mahakamani kwamba hata waitwe wahaini hawawezi kugeuza madai yao ya kutaka Zanzibar ipate mamlaka yake kamili.

Hayo yalidaiwa jana na washtakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  Mahakama ya Mkoloni Mweusi Tanganyika mbele ya Hakimu Mkazi, Renatus Rutta, wakati kesi yao yakubabikiwa ilipokuwa inatajwa.

Upande wa Serikali ya Mkoloni Mweusi Tanganyika ukiongozwa na Wakili wa Serikali hiyo ya Makaburu Weusi wa Tanganyika, Janeth Kitali ulidai upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika ((swali tunawauliza upelelezi huwo miaka miwili upelelezi gani huo na ikiwa haujakamilika kwa nini mkawalete Mahakamani..? au ndio fashion yenu hiyo Wakoloni Weusi Tanganyika)) hivyo ukaomba kesi iahirishwe  huku ukisubiri kumbukumbu za mahakama kwa ajili ya kukata rufaa.

Sheikh Farid, alisema chanzo cha kushtakiwa katika kesi hiyo ni madai yao katika mchakato wa katiba ya kuhakikisha nchi ya Zanzibar inapata mamlaka sahihi.

“Sisi wote ni viongozi wa jumuiya, baada ya yote hayo ndiyo misukosuko ikaanza kwetu, kesi ya ugaidi ni bandia, madai yetu hatuwezi kuyageuza hata watuite wahaini.

“Tulifanyiwa mambo mengi ya ukatili, sisi tunadai heshima ya nchi yetu, tulitamka wazi hatutaki Muungano tunataka Rais wetu apewe heshima yake kama Rais wa Zanzibar,” alisema katika Mahakama hiyo ya Mkoloni Mweusi Tanganyika.

Alisema hawana ajenda ya siri, walifanya mihadhara zaidi ya 200 na walitakiwa kushtakiwa nchini mwao abako ni nchi ya Zanzibar kwa hiyo kutengeneza mazingira hayo ni kutaka kuwadhulumu haki zao.

Sheikh Faridi alisema  Serikali iliyopo madarakani imezeeka na ni kikongwe.

Mshtakiwa huyo na wenzake 22 waliomba siku saba kesi yao isikilizwe na endapo zitaisha hatua watakayochukua itaonekana.

Alisema  hawawezi kukubali kudhulumiwa  huku wakikaa kimya.  Walimtaka Kamishna wa nchi ya Zanzibar ajieleze kwa nini aliamua kuwaleta katika nchi ya Tanganyika kuwashtaki.

Hakimu Rutta alisema ni haki kwa waliopo gerezani kutembelewa, waliogoma kula waambiwe wale kwa sababu rai yake ni kutaka wafike mahakamani na  wanafuatilia kwa karibu.

Baada ya Hakimu kusema hayo kesi iliahirishwa hadi Mei 25  mwaka huu.
Mshtakiwa Salum Ally  aliomba wapigwe risasi kichwani wamalizwe kwa sababu wamechoka.

Washtakiwa hao wamebambikiwa kesi atii ya kula njama kufanya ugaidi, kuwawezesha watu kufanya ugaidi na kuwahifadhi magaidi. 
Uhalifu huo unadaiwa ulifanyika sehemu mbalimbali ndani ya Jamhuri ya Muungano feki wa Tanganyika na Zanzibar ila Wazanzibari washa amka wanajuwa kuwa Tanganyika ni Makaburu Weusi na Wanataka kuimeza nchi yao ya Zanzibar hakuna siri tena Mkoloni Mweusi Tanganyika Wachiye HURU Wazanzibari kabla hamjaibika ulimwenguni.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment