Thursday, May 14, 2015

WANAJESHI WA BURUNDI WAUGANA NA RAI WAO KUMPINDUWA DIKTETA NKURUNZINZA JE WANAJESHI WA ZANZIBAR MTAUGANA NAWANANCHI MLETE MAMLAKA KAMILI YA NCHI YA ZANZIBAR AU MTAA MUUNGA MKONO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MUENDELE KUUWA JAMAA ZENU...????

Jenerali Godefroid Niyombare, kiongozi wa kundi la wanajeshi lililotangaza mapinduzi ya serikali ya Pierre Nkurunziza. s'est adressé aux Burundais depuis les studios de la RPA, la radio publique, annonçant la destitution du président Nkurunziza.

WANANCHI WA BURUNDI WAKISHEREHEKEA NA WANAJESHI BADA YA TANGAZO LA DIKTETA NKURUNZIZA KUPINDULIWA AKIWA NCHINI TANGANYIKA ALIKOKWENDA KUJIFUNDISHA MBINU MPYA YA KUWAHADA WANANCHI MAANA INAJULIKA KUWA NCHI YA TANGANYIKA NI NAMBA MOJA KWA KUHADA RAI ILA MBINU HIYO IMEFELI
Jumatano wiki hii, mkuu huyo wa zamani wa majeshi, ambaye pia aliwahi kuwa mkuu Idara ya ujasusi kwa kipindi cha miezi mitatu, alitoa tangazo la kuipindua serikali ya Dikteta Nkurunziza wakati Dikteta huyo alikua alijielekeza jijini Dar es Salaam, nchini Tanganyika, kushirika mkutano wa marais wa jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu mgogoro unaoendelea kushudiwa nchini Burundi.
Kwa muda wa wiki 3 Burundi imekua ikishuhudia maandamano ya raia wakipinga muhula wa tatu wa Dikteta Pierre Nkurunziza nasote tukumbuke nchi ya Burundi ni ya wananchi sio nchi ya Dikteta Nkurunziza kwa hiyo ikiwa wananchi hawataki tena kwa nini ulazimishe na sio nchi yako...? Kwa muda wa majuma kadhaa mitandao ya kijamii imekua imefungwa na Dikteta huyo Nkurunziza ili ulimwengu usijuwe nini kinaendelea nchini Burundi je ndio dimokrasia hiyo...?, lakini baada ya mapinduzi mitandao hiyo imefunguliwa na sasa iko wazi hiyo ndio dimokrasi.
VIJANA GUVU KAZI WAKISHANGIRIA KUPINDULIWA KWA DIKTETA NKURUNZIZA
SHAMRA SHAMRA ZINAENDELEA ZA KUPINDULIWA DIKTETA NKURUNZIZA NCHINI BURUNDI.
Kituo cha redio RPA ambacho kimekua kimefungwa na Dikteta Nkurunziza tangu maandamano hayo yaanze, kimeanza kupeperusha matangazo yake baada ya mapinduzi, hata redio za kibinafsi mbili ambazo ni Bonesha Fm na Isanganiro, ambazo matangazo yake yalikua hayasikiki mikoani na katika baadhi ya maeneo ya nchi jirani, kwa sasa matangazo ya redio hizo yanasikika.
Mapema Jumatano asubuhi, raia kutoka wilaya zote za mji wa Bujumbura walikua wakijaribu kuingia mjini kati Bujumbura, bila mafaanikio. Lakini kuna kundi la wanawake na wasichana ambao walifaulu kuingia kwenye eneo la Uhuru mjini Kati Bujumbura.
WANAJESHI NA RAI WA BURUNDI WAKITEMBEA BEGA KWA BEGA NA FURAHA BAADA YA KUMPINDUWA DIKTETA NKURUNZIZA.
Hata hivyo inasemakena Ikulu ya Dikteta Nkurunziza atii bado inaendelea kutangaza kupitia akaunti yake atii ya twitter kuwa mapinduzi hayo yamefeli hawajuwi kuwa Kutwitter unaweza hata Kutwitter ukiwa chooni na kusema unavyotaka lakini haimanishi kama ndio kweli. Baada ya jeshi kuingilia kati na kudhibiti hali ya mambo. Hata hivyo raia waliingia kwa wingi mjini kati Bujumbura baada ya kusikia tangazo hilo la jeshi la mapinduzi ya serikali, huku askari polisi wakionekana kuingia katika makambi yao.
Wakati huo huo wanajeshi wengi wameonekana wakiizingira redio na televisheni vya taifa pamoja na uwanja wa ndege wa Bujumbura nchini Burundi.
Mpaka asubuhi saa moja (saa za Afrika ya Kati) milio ya risasi na milipuko ya mabomu imeendelea kusikika hapa na pale.
Baadhi ya wanajeshi ndani ya jeshi la Burundi
Hata hivyo hali bado ni ya kutatanisha, huku Ikulu ya nchi hiyo ikiwa imekanusha kutokea kwa mapinduzi hayo kupitia mtandao wa Twitter, ikisema yameshindwa. Lakini Jenerali Godefroid Niyombare, mkuu wa zamani wa ujasusi nchini humo aliye na ushawishi mkubwa amesha kwisha kutangaza mapinduzi hayo saa chache baada ya viongozi wa nchi jirani za Jumuiya ya Afrika Mashariki kukutana jijini Dar es Salaam nchini Tanganyika atii kuzungumzia hali halisi ya Burundi. Dikteta Nkurunziza ameondolewa madarakani, serikali imevunjwa, watu wote wanaombwa kuheshimu maisha na mali za watu wengine," alisema Jenerali Niyombare kupitia chombo kimoja cha habari cha kibinafsi nchini humo.
Jenerali Niyombare ni mtu anayeheshimika nchini Burundi aliyeondolewa mwezi wa Februari kutoka katika nafasi kama mkuu wa ujasusi katika nchi hiyo ya Afrika ya Kati.
Jenarali huyo hata hivyo amesema kwa sasa ana nia ya kufuatia njia ya kidemokrasia na atafanya kazi pamoja na wenzake katika kuandaa uchaguzi. Ameongeza kusema ataunda kamati ya kurejesha amani ya kitaifa itakayokuwa na jukumu la kurejesha umoja wa kitaifa, na kuanza mchakato wa uchaguzi utakaokuwa katika mazingira ya amani na usawa.
Hata hivyo bado hakuna tamko lolote kutoka kwa Dikteta Nkurunziza, ambye yupo jijini Dar Es Salaam nchini Tanganyika aliko kuhudhuria atii kikao cha viongozi wa jumuiya ya Afrika Mashariki inayojuimuisha Kenya, Rwanda, Tanganyika na Uganda pamoja na Burundi. Viongozi hao wanajaribu kupata suluhu ya mgogoro wa nchi ya Burundi.Wakati hayo yakiarifiwa Umoja wa Afrika ,Hata hivyo licha ya miito kutoka kwa jamii ya Kimataifa kwa Dikteta Nkurunziza kuachia azma yake ya kugombea tena muhula wa tatu na kubaki madarakani alipuuzia miito hiyo ya kuachia azma yake hiyo je ndio dimokrasi hiyo kuwa wewe unataka kuganda katika madaraka kwani nchi hii baba yako kakurithisha.....?
Raia wa Burundi wakimbilia nchi jirani kwa kuhofia usalama wao Burundi kutoka na Dikteta Nkurunziza kuendelea kuwauwa wandamanaji wanao fuata katiba ya nchi yao kuwa rais ana mihula miwi akimali achie lakini Dikteta Nkurunziza na baadhi ya wenzake wamekuwa na tamaa ya madara na wanataka kuka madarakani milele hata ikiwa ni kwa kuuwa watu rai wema.
Kwa sasa takriban watu 20 wameuwawa huku wengine wengi wakijeruhiwa tangu katikati ya mwezi wa Aprili wakati chama tawala cha CNDD FDD kilipomuidhinisha Dikteta Nkurunziza kama mgombea wao wa Urais katika uchaguzi uliopangwa kufanyika tarehe 26 mwezi Juni.
Pia Jenerali Godefroid Niyombare amasema wakuwambiya wale wote wanaosema kama Mapinduzi yamefeli basi wamwambiye Nkurunzinza arudi nchini basi.
KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment