Saturday, June 6, 2015

MAJABU HAYA ATII VITAMBULISHO VYA ZAN ID 85,122 VIMEKOSA WENYEWE KWENDA KUVICHUKUWA AAAAAH AKAAAAAA


Maofisa wa ZAN ID na E-Government , wakiwa katika ukumbi 

wa hafla ya kukabidhiwa vya Vyeti vya Ubora wa 

Utengenezaji wa Vitambulisho.

Katika taarifa ambazo zimetoka kwenye gazeti la Zanzibarleo, kuwa kuna vipande idadi yake ZAN ID 85,122 atii wenyewe hawakwenda kuchukua wenyewe hivyo vitambulisho vyao , Je kuna juhudi gani zimefanyika ili kuwatambua wenyewe.....? Au hivyo vipande vya wapandikizi wanaogopa kwenda kuchukua.....? Kuna watu Zanzibar 40,000 hawajaandikishwa katika kupatiwa fursa hio ya vitambulisho na wana haha kila kukicha na ni Wazanzibari leo mnatuambia vitambulisho 85,122 wenyewe hawajakuja kuvichukuwa wenyewe wapi hao maana wazanzibari tunajuwana ukimuambia makame amuambiye usi na pandu waje wachukuwe vitambulisho vyao watakuja twambiyeni kweli mnawanyima wazanzibari mukituletea wakata makonge na wauza dawa na panya na karanga mnawatengezea vitambulisho na sasa labda wameigiwa na hofu ndio hawaji kuja kuchukua. wazanzibari sio wala hawastahiki kuzungushwa au kuhangaishwa maana ni haki yao vitambulisho lakini wanahangaika kila njia wapate nafasi hio, leo hii ni ajabu kuona vipande 85,122 havija chukuliwa.

Maofisa wa ZAN ID na E-Government , wakiwa katika ukumbi 

wa hafla ya kukabidhiwa vya Vyeti vya Ubora wa 

Utengenezaji wa Vitambulisho.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment