Wednesday, September 16, 2015

HII NDIO NCHI YA ZANZIBAR MIAKA YA 1904 LEO NCHI ZANZIBAR IMEBAKIWA NA MAENDELEO YA MDOMO YA CCM


Unguja ilikua ya mwanzo katika Afrika ya Mashariki kua na railway. Katika mwaka 1904, serikali ya Unguja iliandikiana mkataba na sharika la Kimarekani kujenga hiyo reli (railway) kutoka mjini mbele ya Ngome Kongwe (Forodhani) mpaka Bububu.
Wakati walipokua wanajenga hiyo njia ya reli, wakaanza kutia miti ya taa. Unguja ikawa na taa za njiani za umeme (street electrical lights) mwaka 1906 Unguja ilkua na taa za njiani za umeme; kabla ya London (London walikua bado wakitumia gas).
Zilipoanza kujengwa njia na magari yakaanza kuzidi, hiyo reli ikaacha kutumiwa na ikamalizika 1930. Vyuma na matoto ya reli na vinginevo vikatumika kujenga gati hapo mjini.

KILA MZANZIBARI ATAKAE IPIGIA KURA CCM ILI IBAKI MADARAKANI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment