Wednesday, September 9, 2015

MGOMBEA MWENZA WA UKAWA KUPITIA CHADEMA NA UMOJA WA UKAWA BABU JUMA DUNI HAJI ANGURUMA TANGA


Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akipokea saluti kutoka kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Tanga (OCD), Omary Ntungu alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Tanga kwa ajili ya mikutano ya mkoani.

Makamu Mwenyekitiwa Chadema,nchini Zanzibar, Saud Issa Mohamed akimlaki Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa jijini Tanga, mgombea huyo yupo katika mikutano ya kampeni mkoani Tanga.

Baadhi ya wafuasi wa Ukawa waliokuwa na shauku ya kutaka kumuona mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema Juma Duni Haji wakijaribu kuusimamisha msafara wa mgombea huyo alipokuwa njia kuelekea wilayani Muheza.

Mgombea Mwenza Juma Duni Haji akihutubia wakati wa jimbo la Muheza.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema kihutubia Muheza.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akihutubia mkutano wa kampeni katika uwanja wa Tangamano mjini Tanga.


Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akimtambulisha mgombea ubunge jimbo la Pangani, Amina Mwidau.

Mgombea Mwenza akimkabidhi kadi ya CUF, Siwajibu Rajabu aliyejiunga na chama hicho wakati wa mkutano wa kampeni katika jimbo la Pangani Tanga.

Moja wa wataka mabadiliko akionyesha bango lake lenye ujumbe kamili na uhakika.

Mfuasi wa Ukawa akiwa na bango akionyesha bango lake lenye ujumbe kamili na uhakika kuwajulisha CCM na Bao lao la Mkono wanaloliota usingizini.


Wafuasi wa Ukawa Mkinga wakishangilia katika mkutano ulio hutubiwa na Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji.

Wafuasi wa Ukawa wakifuatilia mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Shule ya Msingi Mkinga.

Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Duni Haji akiagana na wafuasi wa Ukawa baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Tangamano mjini Tanga.

KILA MZANZIBARI ATAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment