Wednesday, November 11, 2015

NCHINI ZANZIBAR JUMBA LA KIHISTORIA BAIT AL AJAIB LAPOROMOKA

beit-la-jaib
Jumba la kihistoria (Bait Al Ajaib) liliopo Mji Mkongwe nchini Zanzibar limeporomoka baadhi ya kuta zake, Desembe 2012 baadhi ya kuta kama hizo zilianguka na kuvuruga gari iliyokuwepo chini ya jengo hilo. Wazo langu kwa Serikali na Mamlaka za Mji Mkongwe kushughulikia suala hili ili lisilete athari lakini wakumbuke kwamba jumba hilo ni miongoni mwa kumbukumbu za nchi yetu hii ya Zanzibar hawa watali munao jisifia kila siku huwa wanakuja kutiza mambo kama haya sio kutizama majuso yenu na ukereketwa wenu.

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment