Wednesday, December 9, 2015

LEO NI SIKU YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA AFADHALI SASA MNANZA KUJITAMBUWA KUWA NI WATANGANYIKA

Afbeeldingsresultaat voor uhuru wa nchi ya tanganyika
LEO NI SIKU YA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA JAPOKUWA JINA HILI HAWATAKI KULISIKIA NA KILA KUKICHA HUJIPA MAJINA UTAFIKIRI WANABATIZWA MARA BARA,MARA TANZANIA BARA,MARA BONGO,MARA BONGO LAND,MARA TZ LAKINI HUKO KOTE NI KUJITIA HAMNAZO TU ULIMWENGU UNA JUWA NA SOTE TUNAJUWA KUWA NCHI HII KABLA YA UHURU ILIKUWA HAINA JANA MPAKA MKOLONI WA KIJERUMANI ALIWA WATAWALA NDIO AKAWAITA TANG ALIPOFUKUZWA NA KUPIGWA NA MKOLONI MWENZAKE MGEREZA NA KUMTIMUWA MJARUMANI NDIO MGEREZA SASA AKAITA TANGANYIKA KUTOKA TANG MGEREZA AKAONGEZA ANYIKA NDIO LIKAPATIKANA JINA TANGANYIKA NA MPAKA NCHI HII INAPATA UHURU HII 1961 INAJULIKANA KWA JINA LA TANGANYIKA SKULI HAMSOMESHI MUNAVIRINGWAVIRINGWA TU TANZANIA WEEE MUARABU WEEEE BASI, VIZURI SANA POMBE MAGUFULI KUSEMA WATU WASAFISHE NCHI SIKU YA SHEREHE YA NCHI YENU TANGANYIKA ILIPO PATA UHURU JE SHEREHE ZA MUUNGANO FEKI MTASAFISHA PIA AU SHEREHE ZA MUUNGANO FEKI ZITAKUWA NDIO SHEREHE ZA KISHAMRA SHAMRA NA MAJESHI NA MANGWARIDI ILI MZIDI KUONYESHA KUWA HII NDIO SHEREHE YA NCHI NA KUENDELEZA MCHEZO WENU WA KUTAKA KUIMEZA NCHI YA ZANZIBAR ILI MUIFUTE KATIKA RAMANI YA DUNIA......????


WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA

WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA

WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA

WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA

Kutoka Kushoto: Sheikh Suleiman Takadir, Mbutta Milando, JohnRupia na Julius Nyerere Hao Waliowazunguka na Silaha za Jadi ni Bantu Group Kundi la Vijana.

BIBI TITI MOHAMMED KATIKA WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA SKULI VITABU 
VYOTE NI NYERERE TU ATI NDIO ALIYEPIGANIA UHURU.

BIBI TITI MOHAMMED MOJA KATIKA WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA

BIBI TITI MOHAMMED MOJA KATIKA WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA


WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA BIBI TITI MOHAMMED.

BIBI TITI MOHAMMED



WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA

WALIOPIGANIA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA KUSAHAULIWA







HII NDIO BENDERA YA NCHI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU WAKE 1961 KABLA HAMJAUNGANA NA NCHI YA ZANZIBAR

nyerere alipo apishwa kuwa rais wa nchi ya Tanganyika kwa mara ya kwanza na kukadhibiwa uhuru wa nchi ya Tanganyika 1961

Stock Photo:Dr Nyerere and Kawawa say farewell to Sir Richard Turnball. The President of a newly independent Tanganyika, Julius Nyerere, and his Prime Minister, Rashid Kawawa 

Titi Mohamed na Nyerere katika shamra shamra baada ya nchi ya Tanganyika kupata huru wake.



IMG-20151209-WA0007
RAIS POMBE MAGUFULI SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA AKIFANYA USAFI NA MKEWE
IMG-20151209-WA0005
RAIS POMBE MAGUFULI SIKU YA UHURU WA TANGANYIKA AKIFANYA USAFI NA MKEWE
IMG-20151209-WA0006
MSAANI MIAKA KUMI UMEZIVURUGA PESA KWA SHEREHE ZA UHURU WA NCHI YA TANGANYIKA NA SHEREHE ZA MUUNGANO FEKI AU MUUNGANO WA KULAZIMISHANA LEO NDIO UNAJIOSHA KISABUNI KUJIDAI KUINGIA BARABARA ATII USAFI KAMA USAFI KWELI SIUNGELISAFISHA RUSHWA WAPI UMECHELEWA KARAMU ISHALIWA

Hii benderaa tatu kutoka mkono wa kulia na ya nne kutoka mkono wa kushoto ndio bendera ya nchi ya Zanzibar baada ya kupata UHURU na hii ni siku waliojiunga na U.N wakati huwa huo huo nchi ya Kenya pia siku moja na nchi ya Zanzibar walijiunga na U.N wakati huo nchi ya Tanganyika hata U.N. haijuwi ni nini.

Waziri Mkuu wa kwanza wa nchi ya Zanzibar akitowa hutba katika U.N. baada ya kupacheka Bendera ya nchi ya Zanzibar U.N.


KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment