Sunday, January 31, 2016

WAZANZIBARI; TUNAMJIBU AMINA SALUM ALI


MIAKA 30 YA UONGOZI NA HANA MOJA ALILOFANYA KWA NCHI YA ZANZIBAR WALA KWA WAZANZIBARI ZAIDI YA KUIBA NA KUJITAJIRISHA NA KUPELEKA FAMILIA ZAKE KUSOMA NJE JAPOKUWA NI MAMBUMBUMBU ANAWAPELEKA HIVYO KWA PESA ANAZO IBA ZA WALIPA KODI

AMINA SALUM ALI NA MAMA THERESA
Assalamu Alaekum Ndugu Wazanzibari wote wa Nje na Ndani ya Visiwa Vyetu Adhimu. Na Habari Zenu Ndugu Watanganyika Wa Ndani na Nje Ya Nchi yenu. Ama sisi tunachukua Nafasi hii kama Wazanzibari Kumjibu Amina Salim Ali baada ya yakukaa na kutafakari KAULI yake- aliomtaka Maalim Sefu Sharifu Hamadi Kuingia Katika Uchaguzi haramu WA (CCM) wamarudio. Nakusukuma Lawama Nyingi sana kwa Maalim Sefu Sharifu Hamadi badala kusema Ukweli na Kuacha Kusema Nani haswa aliefanya Makosa yakuivuruga SUK na Kuwapasua Wazanzibari ambao walikuwa tayari wameanza ku-hils their Woond baada ya Makubaliano ya Muwafaka Walioufanya Mh. Amani Abedi Amani Karume kutoka CCM na Sefu Sharif Hamad kutoka CUF.
1. Kama yakuandika haya tuliokusudia, kwanza naomba Samahani sana kwakutoa Historia Fupi ya Amina Salumu Ali. Amina Salumu Ali ni Mjukuu wa Bibi mmoja akiitwa Bi Mpangani aliekuwa akikaa pale Muembe Shauri Karibu na Branch ya Zamani ya Tawi la ASP Muembe Shauri. Bi Mpangani alikuwa ni bibi wa KIMANYEMA Na KIZARAMU na Jamaazake ni wale Akina Yusuf Chunda waliokuwa wakikaa Pale chini Mkungu Malofa- Sehemu Iliojengwa Msikiti kuteremkia uwanja wa Kariakoo. Bi Mpangani alikuwa maarufu kwakuuza Togwa- Baba yake Amina inasemekana ni baadhi ya vijana Waliokuja hapa nchini Zanzibar na wazee wake kutoka Bagamoyo Au Rufiji huko nchini Tanganyika (Sina Hakika hapa). Na Mama yake Amina upande Ni Mzaramo aliekulia Uguja wakati Wazee wake walipohamia Unguja Miaka ya katikati ya 1940. Amina Salumu Ali hawezi kuikataa nchi ya Zanzibar hata kama Wazazi Wake hawakutokea hapa nchini Zanzibar (Unguja) . lakini Wametumia Nguvu zao na fedha za Walipa kodi kuendesha maisha yao na kusomesha watoto wao chini ya Serikali ya ASP na baadae CCM. Kama Baba yake Amina alikuwa Ni Clerical wa Serikali ya SMZ.Wamezaliwa Watu 4-5 katika Tumbo lao na Nawakumbuka vizuri wakati tulipokuwa Wadogo pale Muembeshauri. Dada yake mkubwa (Dar Buhite) aliolewa na Mzee mmoja Polisi ambae tukimwita Kar Slemani, ambae asili yake ni Makunduchi na walikuwa wakikaa Bomani. Halafu akafuatia Amina, halafu Ali na baadae Zulekha. Hapa katikati sijuwi kama kulikuwa na mtoto mwengine au laa. Ndugu yake Zulekha na mtoto wa Dada yake anaitwa Khadija tulicheza pamoja japokuwa wao walikuwa Wadogo zangu kidogo kwakuzaliwa.Wazee Wa Amina Salim Ali Walikuwa ni Wanachama kindaki ndaki wa ASP kama alivokuwa Baba yangu na walikuwa wakikutana katika Tawi hilo la ASP pale Muembeshauri.
Kisa Cha Amina Kumchukia Maalim Sefu na SUK:
Amina Salumu Ali alisoma na kumaliza darasa la 12 wakati wa Awamu ya Mzee Jumbe na akajiendeleza kusoma mpaka akafika kwenye Odinary Diploma. Amina Wakati Wa Awamu ya 2 ya Mzee Jumbe na maalim Sefu Akiwa (Waziri wa Elimu kwa muda Mfupi Sana) -Alinyimwa pesa zakwenda Kusoma India na Serikali ya Jumbe narudia tena akanyimwa pesa zakwenda kusoma india na Serikali ya Jumbe. Kwa sababu alikuwa Elimu hio ya Odinary Diploma ya Finance and Management, ikitolewa hapo DSM katika Chuo kizuri cha IMF na Business College. Hivo Serikali ya Mzee Jumbe ilikubali kumsomesha Amina hapa nchini Tanganyika kwanza – hasa kwa vile Qualification zake hazikuwa Nzuri sanaa lakini yeye mwenyewe alishikilia kwenda kuipata elimu hiyo India. na akanyimwa fedha hizo na ikawa Nongwa na Chuki Juu ya Maalim Sefu, Jumbe na Wapemba kwa Ujumla. Amina Salumu Ali ni Marafiki sana na Haribu Bilali. Amina Alikwenda India kusoma baada yakuanza kazi kama Ofisa wa Fedha Wizara ya Hazina hapo Zamani. Nahatimae kuwa Mkereketwa Mkubwa wa CCM na kushika nafasi za Uwaziri wakati wa Serikali ya Salimini Amour.- Amina Ni Mmoja wa Wazanzibari ambao wana Maradhi ya BT na chuki za Upemba na Uunguja, Uarabu na Uafrica. Amina kawahi kuwa Muwakilishi wa Jimbo la Kiembe Samaki katika mihula mii 2 na Aliwahi kutembea UCHI Pale Michenzani Round About- Ikiwa ni Moja ya kuondoa Nadhiri Yake yakushinda Jimbo la Kiembe samaki kwa Mara ya 2. Nadhiri hiyo Aliiweka baada ya Mfumo wa Vyama vingi kuanzishwa 1995 na CCM kushindwa Vibaya sana na CUF kwa mwaka huo. Na Mara ya pili katika Uchaguzi wa 2000 pia alishinda kwa Marogo na Vishuo.
Sitaki kuwaeleza Katika Awamu ya Mh. Amani Karume kwakutegemea Nyote Munajuwa ni Makundi gani Yaliokuwa Yakimtaka Raisi Awe Ghalib Bilali na hawakumtaka Amani. Na Amani alipowekwa Uraisi ( hakukosa Mwenyewe) Alimtema Amina na Chuki yake Akaijenga Juu ya Amani Karume. Na Huu ndio Mwanzo wakumchukia Amani Karume, na Wakati Maalim Na amani walipokuwa Wakitafuta Muafaka wa Mgogoro wa nchi yetu ya Zanzibar. Akina Amina , Nahodha, Gharibu Bilali, Mwinyihaji, Shamuhuna Kificho, Slemani Nyange ( yule alikufa Majuzi)na Viongozi wengine wenye Asili ya Unguja Walikuwa Wakipiga campeni chini kwa chini ili SUK isipite na Wazanzibari Waipigie kura ya Hapana. Kwasababu Amina Aliloliogopa ni Msimamo wa Maalimu kwamba Akiingia kwenye Madaraka Wahafidhuna kama yeye hawatapata Kula yao na Familia zao na kuendelea kuiba na kujitajirisha. Kwahivo Sababu moja ya Amina kuichukia SUK nikwamba Alitemwa katika Serikali ya Awamu ya Amani Karume – Waanzilishi wa SUK Kwa Muono Wake Amina wa Chuki binafsi ilianzishwa na Watu aliokuwa hawapendi.
Kuhusu Maalim Kuingia Kwenye Uchaguzi:
Sisi Wazanzibari hatukushangai Amina Salumu Ali kukataa Ukweli kwamba Katiba na Sheria ya Nchi Imevunjwa. Na Kwanini hatukushangai kutoa kauli hiyoi Kwa sababu Ufanisi kazi yako hauko katika Standard Inayotakiwa. Tuko na mifano ya Kufukuzwa kwako kazi katika Serikali ya Kimarekani. Na baadae Ukaangukia katika AOU. Na Huko Amina Salum Ali Alibebwa tu na Gharibu Bilali. Hivo Mueleo wa Amina katika Mkondo wa Sheria ni Mdogo sana, lakini haoni kwamba kama sio Hao Maaduwi Zako Maalim Sefu na Amani Karume wewe Usingekuwa na Mdomo Mrefu waku halalisha Haramu na kusahau Halali? Sio hivo tu Amina Salumu Ali hivi sasa anataka arushiwe Fupa katika Serikali yao Haramu ambayo Wataiunda kwanguvu zao zote ili wawavuruge Wazanzibari. Na hii ndio Sababu ya Mwanamke huyu Kutamka maneno ambayo kwa Nyadhifa zake alizokaa hatukutegemea kuwa Mpumbavu Wakutojuwa Haramu na halali.
Unasema Maalim Akubali kushindwa katika Uchaguzi, ikiwa Ni Uchaguzi Maalim Alishakubali kushindwa katika Uchaguzi wa 2010. Japokuwa Ushindi Huo ulikuwa ni wa Margin Ndogo. Kama wewe Una Elimu ya Dini na Dunia Ungelionba hili kwanza kabla yakunywa GONGO na Kuropoka Maneno yasio na mizani. Jengine Uchaguzi Sio wa Maalim bali ni Wazanzibari- maalim Sefu kura yake ni moja tu haizidishi wala haipunguzi ushindi wenu. Hivo tungetegemea kwa utaalamu wako Wazanzibari Wameshafanya Uchaguzi 25.10.2015 na Mshindi anajulikana basi mara hii na Nyinyi CCM Kukubali mara hii kushika nafasi ya MAKAMO wa 1. Kama alivofanya Maalim Sefu?.. Kwanini Mumefuta Uchaguzi kama vile Munacheza Mpira Wa Nage?
Unasema kwamba Maalim Hakuweza Kutumia nafasi ya SUK nakuleta Maendeleo kwa Wazanzibari. Kwanza Wewe Amina Ulikuwa Waziri katika Vipindi 3 na muwakilishi wa jimbo la Kiembesamaki katika vipindi 2- Jee Umeleta Maendeleo gani wakati uliposhikilia Nyadhifa hizo zote? Labda Kufanya Umalaya, Kuharibu pesa za Walipa kodi, kwakuwapeleka Familia Yako Kusoma Nje na Wala hawakuwa na Qualification hata Yakufanya Ordinary Level Exams. Let alone kusoma Cheti cha kazi.Jengine Amina Salumu Ali wakati ukiwa Waziri wa Fedha katika vipindi 3. Uwanja wa Ndege Ulikua Kwenye Wizara yako- Pesa za Kodi za Viwanja Mulizi-allocate Vipi? Wakati Wenu Jinsi mulivokuwa Hamuna Uongozi wala Management, Uwanja wa Ndege wa Zanzibar Ulikuwa kama Uwanja wa Kundemba kule Wazaramo Mulikokuwa Mukichezwa UNYAGO Wakati Mulipopata Ukubwa. ILI MUWEZE KULALA NA Wanaume.
Hivo Uwanja wa Ndege wa nchi ya Zanzibar ni mfano Tosha wakwamba Maalim kwakutumia Mawaziri Wake Wachapa Kazi Kaweza kusimamia baadhi ya Ujenzi au Uboreshaji wa Maendeleo. Licha Ya Sefu Iddi Kuiba Fedha Nakudhoofisha Wizara Zote Zilizokuwa Chini ya CUF-Mfano huo wa Uwanja wa Ndege ni mafanikio makubwa kwa CUF na Maalim kwasababu angalau unaonekana kwenye standard kidogo kuwa na Sehemu ya Depature na Arrival na sehemu yakungojea Wageni. Nyinyi Mumekaa Miaka 52 mulilolileta ni Ufukara, Ujinga, chuki, ubadhirifu,kuwa watu,nchi chafu inanuka na kuza majumba ya shangani na viwanja vya watoto kucheza munauza tu na fukwe za bahari mnauza tu na visiwa mnauza tu na Hata Kutuharibia culture yetu. Lakini CUF wameweza hata Kuzuia Zao Lakarafuu Lisiuzwe Kenya ambalo ndilo linalowalisha Nyinyi na familia zenu. Na Sio hivo tu baada ya SUK kuanza Maalim Alikuwa aanzishe hata Shirika la ndege na mipango ilikuwa Imewiva, lakini SEFU ALI IDDI ndie alieharibu SUK Isiweze kufanikiwa Chini ya Sheni. Tunajuwa Njama zenu ya Kuwasobortage Wapinzani.. Hata hivo SUK singefikia hapo ilipo kama sio Maalim Sefu Sharif Hamad na Mh. Amani Abedi Karume.
Jengine Maalim atatumiaje NAFASI YAKE ndani Ya SUK WAKATI NGUVU ZOTE za Uongozi Wake Mulimvua Na Mukamkabidhi ( JABU Mponda) MAKAMO WA 2. AMBAE KIUKWELI HAKUNA ASIEJUWA KWAMBA HUU NDIO ULIOKUWA UKUTA MWEUSI WAKUINYIMA ZANZIBAR Na Wazanzibari MAENDELEO Ambayo Waliyangoja Kwa Hamu Kubwa. Njama Zenu Ilikuwa Ni Kuibomoa CUF na Kumtia Ubayani Maalim.. Wastara Hasumbuki na Aliepewa Kapewa Amina Mzaramu.
Unasema Maalim Anakwenda kukutana na Dr Sheni wanakunywa Kahawa na Haluwa huku Wakicheka, halafu maalim Akifika Nje anabadilika.. Nafikiri Statement Hii Uliposema Ulikuwa Tayari Umeshalewa Gongo Lako La Mapapai Mabovu na Mahindi. Ukweli Hata huyo Mtoto Mdogo hawezi Kutamka Usemi Huu kwakujuwa Kwamba Watu waliovunja Mazungumzo Ni Nyinyi CCM Wahafidhuna.Kumbe Amina Salimu Ali Wewe Unataka kuuguwa Wazimu Nini?. Kwasababu Maalim Sefu Alikaa Kimya kwa Muda Mrefu sana na Nyinyi CCM hasa UVCCM, Waride, Vuyai, Sefu Iddi walikuwa Wakifanya Mikutano na Waandishi wa Habari na kutoa kauli za Uchaguzi na Kutotambua Mazungumzo ya maalim na Sheni.. na Mwisho Sheni alisema hatishwi na kutoa kauli Chafu.. Ndio maalim Akaja na Msimamo madhubuti kabisa ambao Amewaacha CCM ukiwemo wewe Ukiunya Unya..
Kwakumalizia Tunamuomba Amina salumu Ali aache Uongo na unafiki wa Kihafidhina kwakutaka Cheo katika Serikali ya Magufuli au Serikali haramu ya CCM. Bali Uwambie Ukweli Wazanzibari Kwanini Wakubali Uchaguzi wa Marudio wakati katika Tovuti la ZEC mpaka sasa hakuna Complain Zozote za Uchaguzi Wao Waliofanya 25. October.
Ama Kweli Kusoma sio kufahamu, Naamini Huyu Mama kwa Mawazo yake na kauli yake Hii Hafai hata kuwa Makamo wa Kwanza wa Raisi let alone Raisi wa Muungano.
Mtoto wa Ngedere ni Ngedere Tuu hata Umvishe Manukato.
Wabilahi Toufiq.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment