Tuesday, March 22, 2016

HARUFU MBAYA YAANZA KUMNUKIA HAMAD RASHID NA HATARI YA KUTOSWA NA CCM



KUMBE KUSHIRIKI KATIKA UCHAGUZI NI KWA MASLAHI YAKE – KUWA NAYE KWENYE VIKAO VYA BARAZA LA MAPINDUZI MTIHANI LAKINI KUBWA MNAFIKI NA TUNA SIRI NYINGI KWENYE BARAZA LA MAPINDUZI HAFAWI.
Wahenga walisema” lishalovuusha si dau” tulishakulipa chako hakuna zaidi, Hamad Hashid Dr Sheni hawezi kukuchagua kuwa makamu wa rais katika miaka mitano ijayo tuna mambo muhimu sana ya kuyajadili katika vikao cha baraza la mapinduzi kwa ustawi wa mapinduzi yetu na wewe si CCM, lakini mnafiki kama ulimsaliti mpemba mwenzio Seif Sharif utashindwaje kuyasaliti mapinduzi ya Unguja....?? Hamad Rashid akisikika kuhojiwa na kituo kimoja cha radio “Coconut FM” ambapo alidai kua pamoja na kutofikia alau asilimia 10 ana imani katika nafasi 10 za Rais basi atatumia busara yake ili kuteua wawakilishi wa vyama vilisho shiriki uchaguzi sawa lakini si lazima uwe wewe Hamad Rashid kuna Said Soud. Hamad Rashid amedai wamekisaidia CCM na kuunga mkono juhudi za serikali kufanikisha uchaguzi .Kwa mana nyengine .Hamad Rashid anataka kulipwa fadhila. Hamad Rashid pia amedai bila ya upinzani hakuna serikali ya National Unity ambapo itakua kuna mgogoro wa kikatiba. Mpinzani si Hamad Rashid tu, nafasi ya umakamo wa rais inaweza kuwa wazi kikatiba pia, Hatuwezi kumuingiza Hamad Rashid kwenye vikao vya baraza la mapinduzi tuna siri nyingi tunataka kuzingumza kuyaenzi mapinduzi ya Unguja na wewe mpemba mavi ya ng’ombe huaminiki, memba gani alishiriki mapinduzi?
Napenda kumuelewesha kua hata Rais akifanya uteuzi wa chama cha Hamad kwa viti vyote 10 katiba hairuhusu kumpa nafasi ya makamo wa kwanza wa raisi kwa sababu hatutaki mtu wa tatu katika baraza la mapinduzi na hasa mtu kama Hamad Rashid malaya wa kisiasa. Kwanini nafasi za uteuzi haziwezi kuhalalisha makamo wa Rais na kuzima ndoto za Bwana Hamad Rashid? Katiba ya Zanzibar 1984 toleo 201038(3)(ii)“Endapo rais atakua hana mpinzani basi nafasi ya makamo wa kwanza wa rais itapewa chama chochote cha upinzani kilichotokea cha pili kwa wingi wa viti vya majimbo katika baraza la wawakilishi”Kwa muktadha huo wingi wa viti vya majimbo mana yake si wabunge wakuteuliwa .Ni lazima iwe na majimbo ya kuchaguliwa na wananchi. Hamad Rashid huna hata diwani wacha wawakilishi, tuacheni CCM turekebishe mambo na katika hatua hiyo hatuwezi kuwa na mtu wa tatu katika baraza la mapinduzi, ambalo lipo kuyaenzi mapinduzi, na mapinduzi ni ya Unguja sio Pemba.
Chanzo : Kisiwandui
Toba jamani mnamtosa hivi hivi si aliwasaidiya huyo katika Bunge la katiba pamoja na Uchanguzi wa Zanzibar,Alisha sema uchaguzi ukiisha tunataka kufanya kazi ya kuwaleteya maendeleo wananchi. Atakaye fanya fyoko fyoko atamshugulikiya,Leo mnamtosa hivi hivi ama kweli fadhila za punda mashuzi,au alikuwa anatumiya misamiati ya kujipendekeza...??
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment