Tuesday, March 22, 2016

WALIPO AMBIWA MTAIBO UMEWGANDA WALIBISHA HAYA MSOKOTANO MPYA WAZUKA NCHINI ZANZIBAR



WABUNGE NA WAWAKILISHA HALALI WALIO CHAGULIWA NA WAZANZIBARI HAWA HAPA HALALI SIKU ZOTE HUWA HALALI NA HARAMU SIKU ZOTE HUWA HARAMU HATA UKITAKA KUITAKASA NA KUIOSHA ITABAKI KUWA HARAMU TUU
.
BAADA YA CCM KUJITEKENYA YENYEWE NA KUCHEKA YENYEWE NA KUKOSEA KUKOKOTA TARAKIMU NA KUTOA TAARIFA RASMI YA MATOKEO YA UCHAGUZI WA MAREJEO MATOKEO RASMI HAYAKIDHI MATAKWA YA KATIBA YA NCHI YA ZANZIBAR YA SASA NA HIVYO UNAPASWA KUFANYIKA UPYA SIO MAREJEO TENA. – SHENI NI MKOSI !!!!
Kufuatia matokeo rasmi yaliotangazwa na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar Jecha Firauni Jecha kutokidhi matakwa ya kikatiba uchaguzi wa nchi ya Zanzibar unapaswa kuitishwa upya na sio marejeo tena sasa. CCM wanapenda namba lakini hawajui kukukota, walipaswa kujua athari za matokeo rasmi waliyotangaza, inashangaza Tume ya Uchaguzi ya nchi ya Zanzibar mkurugenzi wake ni mtu wa mahesabu na makamishna wawili ni watu wa mahesabu lakini bado wamefanya makosa yatakayoligharimu taifa fedha nyingi sana.Kwa kukidhi matakwa ya katika ya sasa uchaguzi unapaswa huitishwa upya, yaani uandikishaji wapiga kura upya, uteuzi wa wagombea upya, kampeni nyengine na upigaji kura upya (fresh election) au warudi kwenye hoja na hoja ni kumaliza kuhakiki na kutangaza majimbo yalio baki. Na hii inatokana na CCM kuwa “rigid” kupanga matokeo ya wao kusomba viti vyote, kwa mujibu wa masharti ya katiba raisi mteule baada ya kuapishwa atatakiwa kuteuwa makamu wawili wa raisi ndani ya siku saba, na mmoja katika makamu wa raisi ni makamu wa kwanza wa raisi ambaye atatokana na chama kilichopata nafasi ya pili katika idadi ya kura kwa angalau 10% na hakuna chama kilichoshiriki uchaguzi wa marejeo kilichofika 10%.
Na kama hakuna chama kilichofika 10% katiba inataka nafasi hiyo kupewa chama kilichopata wingi wa viti katika baraza la wawakilishi endapo ingekuwa mgombea wa CCM hakuwa na mpinzani, lakini katika uchaguzi wa marejeo CCM ilikuwa na wapinzani 12 katika nafasi ya uraisi. Ili kukidhi matakwa ya katiba inabidi aidha katiba kubadilishwa na hilo lina ghamara kubwa kwa sababu kubadilisha kifungu chochote cha katiba ni lazima marekebisho hayo yapelekwe katika baraza la wawakilishi na hoja kupita kwa theluthi mbili na kisha yapigiwe kura ya maoni na wanzanzibari wote kwa wingi wa theluthi mbili kuondoa vifungu vya katiba vinavyoweka masharti hayo ya kikatiba. Vinginevyo uchaguzi unapaswa kuitishwa upya (fresh election) kuanzia uandikishaji, uteuzi wa wagombea, kampeni na upigaji kura ili kukidhi matakwa ya katiba ya nchi ya Zanzibar ya mwaka 1984 toleo la 2010. Vinginevyo nchi ya Zanzibar itaingia katika mgogoro mkubwa wa kikatiba tangu katiba ya nchi ya Zanzibar ilipoasisiwa mwaka 1984.
Nimepewa wazo nilifikishe hapo kwa Wazalendo wanao ipenda nchi yao ya Zanzibar, nalo ni kuwaomba Kila aliehisi kadhulumiwa na Jecha, Sheni na kaumu yao, wanaombwa wafunge kwa pamoja siku atakayo apishwa DK. Shein nadhani itakuwa siku ya Alkhamis kwa nilivyo hadithiwa. Lengo au sababu ya funga hiyo iwe ni kumshitakia M/Mungu juu ya dhulma tuliyo fanyiwa na Shein pamoja na kaumu yake.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment