Sunday, April 17, 2016

TAKURURU YATAKA KUMHOJI MAALIM SEIF ABOUD ATAKA MAALIM ATAJE MAJINA VIONGOZI WA SMZ WALIO FICHA PESA NJE YA NCHI KWA NINI NJE TUANZE HAPA HAPA MAJUMBA NA MAGARI NA MIRADI WALIO FUNGU NI KWA MISHARA IPI


Takukuru kumhoji Maalim Seif Shariff Hamad Z’bar
MAMLAKA ya Kupambana na Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Zanzibar, ambayo ina majukumu sawa na Takukuru ya Mkoloni Mweusi Tanganyika, atii imepanga kumhoji Makamo wa Kwanza wa Rais mstaafu, Maalim Seif Sharif Hamad. Maalim Seif atahojiwa na taasisi hiyo kufuatia madai aliyotoa hivi karibuni kuwa kuna viongozi wa Serilai ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), wanaomiliki fedha chafu na nyumba nje ya nchi. Akizungumza jana, Mkurugenzi wa mamlaka hiyo, Mussa Ali, alisema watamhoji kiongozi wa upinzani na Katibu Mkuu huyo wa Chama cha Wananchi (CUF), ili kusaidia uchunguzi dhidi ya madai yake. Alisema wanataka awasaidie taarifa za vigogo hao wanaomiliki fedha chafu nje ya nchi ili wachukuliwe hatua za kisheria. “Tumeunda timu maalum ya kuchunguza tuhuma kama hizo kwa madhumuni ya kuchukua hatua za kisheria pale tunapopata ushahidi wa kutosha hivyo tutamhoji Maalim Seif,” alisema Mussa. Akizungumza na waandishi wa habari Shangani mjini nchini Zanzibar wiki iliyopita, Maalim Seif alisema kuna viongozi wengi wa SMZ ambao wameficha fedha chafu nje ya nchi.
Alizitaka Jumuiya za Kimataifa kufuatilia akaunti za viongozi hao nje na kuwachukulia hatua za kisheria. Madai ya Maalim Seif yalikuja katika kipindi ambacho dunia imegubikwa na kashfa ya ‘Nyaraka za Panama’ ambapo viongozi mbalimbali mashuhuri duniani, akiwemo Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameroon wamegundulika kuficha fedha kwenye nchi hiyo ya Panama. Waziri Mkuu wa Iceland, Sigmundur Gunnlaugsson alijiuzulu nafasi hiyo Aprili 5 kutokana na maandamano ya kumtaka awajibike baada ya jina lake kuwa mmoja wa watu waluioficha fedha Panama.Wengine mashuhuri waliotajwa kwenye kashfa hiyo ni pamoja na wasaidizi wa karibu wa Rais wa Russia, Vladmir Putin.Maalim hakutaja majina ya viongozi hao lakini alisema suala la kuwepo vigogo walioficha fedha nje ya Zanzibar halitaji tochi kwa sababu wengine wanamiliki nyumba za kifahari Dubai kwa fedha walizopata kinyume na sheria.Wakati huo huo, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imemtaka Maalim Seif kutaja majina ya vigogo anaodai wameficha fedha chafu nje ya nchi.
Akizungumza jana mjini hapa, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais Mohamed Aboud Mohamed alisema atii serikali ya Shein itawachukulia hatua za kisheria endapo atawataja. Maalim Seif alikuwa Makamu wa kwanza wa Rais katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK), lakini CUF ilisusia Uchaguzi Mkuu wa haramu ambao CCM wanajidanganya na kuupa jina la uchaguzi wa marudio wa Machi 20 na hivyo Katibu Mkuu huyo kupoteza nafasi yake. CUF ilisusia Uchaguzi Mkuu wa huwo haramu marudio kwakuwa iliporwa ushindi katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, mwaka jana na mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha baada ya kupewa amri kutoka kwa amiri jeshi mkuu wa nchi ya Tanganyika Wakoloni Weusi kwa wakati huo alikuwa ni J Kikwete na kumimina majeshi nchi nzima ya Zanzibar na kuiweka nchi ya Zanzibar chini ya ulizi wa kijeshi na kumpa guvu Jecha ambaye alitangaza kuufuta licha ya waangalizi wa ndani na kimataifa kusema ulikuwa huru na wa haki. Aboud alisema serikali imedhamiria kupambana na vitendo vya rushwa, ufisadi na kuimarisha misingi ya uwajibikaji kwa viongozi na watumishi wa umma serikali ipi Aboud hebu wacheni kuota mchana. Alisema serikali imekusudia kuendelea kuimarisha dhana ya utawala bora na hatua ya kuwataja majina viongozi walioficha fedha nje ya nchi itasadia sheria kufuata mkondo wake.“Maalim Seif kama ana ushahidi awataje majina viongozi anaodai wameficha fedha nje ya nchi, akifanya hivyo atakua amesadia serikali na vyombo vyake vya sheria,” alisema Waziri Aboud.
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHENI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE. 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment