Sunday, May 29, 2016

WAZANZIBARI TUJIUNGE TUIKOMBOWE NCHI YETU YA ZANZIBAR MIAKA 52 TUKO CHINI YA MKOLONI MAKABURU WEUSI TANGANYIKA


MAKABURU WEUSI TANGANYIKA POLICCM

MAKABURU WEUSI TANGANYIKA POLICCM
Takriban wiki mbili zilizopita nilitowa wito kwa Wazanzibar kujiponya maradhi mabaya yaliyowasibu ya ‘UJECHA’. Pamoja na muda niliotowa kuonekana kama vile kichekesho au hautoshi, sina shaka wito hule wengi wameitikia vya kutosha na imekuwa dawa ya kujitibu na maradhi haya thakili. Tunashkuru hii ni hatua moja mbele. Kwa vile tumeweza kujip[onya maradhi yetu sasa ni wakati wa kurudi uwanjani. Tunarudi uwanjani tukimjuwa aduwi wetu. Hali inayopelekea kuwa na mbinu mpya na mbadala kwanza; kujikinga na kudhurika tena, pili; kujiponya pale tutakapoathirika, na tatu; mbinu za kumpiga na kumtokomezea mbali huyo adui yetu. Hivyo basi, wito wa siku yaleo ni Wazanzibar wote kwa ujumla tujitokeze, tujikusanye, tujipange nakadhalika kwa ajili ya kupambana na adui yetu. Adui yetu hapa ni ‘UKOLONI MWEUSI’. Mkoloni amechomoza makucha yake na anaendelea kunyanyasa nchi yetu.

MAKABURU WEUSI TANGANYIKA POLICCM
Wazanzibar, mengi sana yashasemwa. Yamesemwa na watu wa rika tofauti, wenye vipaji, uzoefu, na ufasaha wa kuzungumza. Hatua kadhaa za kisheria waliotangulia walijaribu kuchukuwa. Nguvu ya kisiasa kwa mtazamo wa kidemokrasia pia umetumika kama ndio njia ya kuondosha UKOLONI huu nchi mwetu. Mafanikio yako mbali kuyafikia, lakini haina maana tusizidishe nguvu zetu au kuvunja harakati zetu. Mkoloni Tanganyika anaendelea kustawisha himaya yake. Nguvu zake zinakuwa kubwa kwa kutumia Jeshi, Polisi na vikosi vyengine vilivyo chini ya vibaraka wake. Ikiwa hiyo ni njia moja anayoitumia, Mkoloni anazo njia nyengine zikienda sambasamba na njia hii kuu. Njia hizo ni kama vile kuwaziba midomo Wazanzibar pale wanapodai haki zao (kuwaweka gerezani), kuiyuwa Zanzibar kiuchumi, kuibadili Zanzibar kiutamaduni, mila na hata silka zetu.Nikiwa muumini wa ukombozi wa Zanzibar utapatikana kutokana na Wazanzibar wenyewe, pale tutakapojikusanya na kujipanga kuleta mbinu mpya ya ukombozi siku itafika na Zanzibar itapata uhuru wake.Mwaka 2008, Wazanzibar chini ya Uongozi wa Dr Yussuf Saleh Salim (Marehemu) walijikusanya, wakapanga na ndio iliyokuwa chanzo cha maridhiano Zanzibar. Hivyo na sasa tunatakiwa kubuni tena fikra kama zile ili ziwe chanzo na chachu ya ukombozi wetu. Ingawa bado hatujawa na msimamo wa hoja ya kushika kama silaha yetu.MAKABURU WEUSI TANGANYIKA POLICCM
Kwani bado miongoni mwa Wazanzibar wanaoona ipo haja ya Ukoloni wa Tanganyika kuendelea kubaki kwa mbinu ya Muungano. Nikimaanisha wako wanaotaka kuendelea na muunngano. Hii ni hoja ya kwanza. Hoja ya pili ni ile ya wanaotaka wapumue. Yaani wanaotaka mamlaka kamili. Hapa kidogo kuna kufumbafumba. Hoja ya tatu ni ya wale wanaotaka kura ya maoni. Wanataka waulizwe moja tu; Yaani munautaka (muungano). Bado hakuna utafiti niliofanya juu ya hoja ipi kati ya tatu hizo ndio yenye nguvu. Pale tutakapoona hoja moja kati ya hizo ndio yenye nguvu, ndipo pa kushika na kumwendea MKOLONI kama vile MUSA alipomwendea FIRAUNI. Wazanzibar!! Ukombozi huu umo mikononi mwetu, sasa ni wakati wa kufanya kazi kwa vile miaka miaka miaka nasema tena miaka 52 imepita.
MAKABURU WEUSI TANGANYIKA POLICCM
KISHA NYINYI MUNAYAITA MAPINDUZI MATUKUFU HIVI KWELI NYINYI MUNAJUWA UTUKUFU NI NINI AU DUNIA IMEWAVA KISAWA SAWA MPAKA MNAKUFURU MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KATUPINDUWA TENA WAZANZIBARI NA KUWEKA VIONGOZI WAWATAKAO WAO WAKINA BT TUNAENDELEA TENA KUKA CHINI YA SERIKALI YA KIKOLONI YA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA MPAKA MIAKA MITANO IMALIZIKE KISHA TUTIWE TENA KATIKA SHENGESHA LA UCHAGUZI NA KUPIGA KURA KISHA WAZANZIBARI WAPIGE KURA NA KUCHAGUWA VIONGOZI WAWATAKAO MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA ATAKUJA NA STYLE MPYA YA KUZIPIGA KURA ZA WAZANZIBARI CHINI NA KUTUEKEA VIONGOZI WAWATAKAO KISHA TUTAKA TENA CHINI NA KUSUBIRI UCHAGUZI WA 2025 MAMBO YATAKUWA HIVYO HIVYO KISHA TUTAKA CHINA NA KUSUBIRI UCHAGU WA WA 2030 TUKIWA HAI KAMA HATUKO TENA WATAKAO BAKI WATAFANYIWA TENA HIVYO HIVYO NA MKOLONI MWEUSI TANGANYIKA KISHA WATAKA CHINI WASUBIRI......>>> MPAKA KIYAMA KISIMAME BASI NI BORA TU TUKUBALI KUWA NDIO TUMEKUBALI KUWA CHINI YA MKONI MWEUSI TANGANYIKA KULIKO UPUMBAVU HUU WA UCHAGUZI AMBAO KILA MOJA WETU HAPA ZANZIBAR KAMA UCHAGUZI WA MARA HII HAUJAWASOMESHA WALA HATUTA SOMA TENA MILELE. 

KILA MZANZIBARI ALIYE IPIGIA KURA CCM AU MPAKA WAKATI HUU BADO ANAISAPOTI CCM ILI IBAKI MADARAKANI JAPO KUWA CCM IMESHINDWA UCHAGUZI AJUWE NA YEYE ANACHANGIA KUENDELEZA DHULMA NA KUFUNGWA KWA MASHEIKH NA KUTHALILISHWA KWAO NA KUENDELEZA DHULMA KATIKA NCHI YA ZANZIBAR UKAE UKIJUWA UTAULIZWA SIKU YA KIYAMA NA MWENYEZI MUNGU ULIPOSIKIA WAZANZIBARI WENZIO WANADHALILISHWA,KUDHULUMIWA NA KULAWITIWA NA HAWA JE ULIFANYA NINI TAFUTA JIBU LAKO MAPEMA KWA SIKU HIYO YA KIYAMA SIKU AMBAYO MALI NA WATOTO WAKO WALA CHEO CHAKO HAVITAKUFAA SIKU HIYO.

No comments:

Post a Comment