Thursday, June 23, 2016

NCHINI TANGANYIKA JAJI DAMIAN LUBUVA ASEMA UCHAGUZI MKUU WA MWAKA 2015 ULIKUWA HURU NA HAKI MBONA ZANZIBAR MUMEMUEKA SHEIN KWA NGUVU NA KUTUMIA JESHI LENU WAKOLONI WEUSI TANGANYIKA


Aidha akikabidhi ripoti hiyo kwa Rais Magufuli, Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva amesema uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa huru na wa haki na hata waangalizi wa nje wengi wamepongeza uchaguzi huo.
Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva Namnuku uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa huru na wa haki na hata waangalizi wa nje wengi wamepongeza uchaguzi huo mwisho wa kunuku. je ilikuwaje Kikweta akamwaga jeshi Zanzibar kuja kuzunguka nchi nzima...?

ilikuwaje Kikwete akakata kukutana na Maalim seif mpaka baada ya saa machache atakuwa kamaliza mda wake ndio akakubali....? ilikuwaje Kikwete akasema wanakuogopa wewe ukiwa rais.....? ilikuwaje Kikwete akasema kumuambia Maalim kuwa utavinja Muungano....? ilikuwaje wawakilishi wawe washapewa mpaka vyeti kuwa wameshinda changuzi kisha wambiwe kuwa sio wawakilishi halali na uchaguzi kufutwa...?

Jaji Damian Lubuva ilikuwaje Jecha Firauni Jecha akaufuta uchaguzi wakati hana mamlaka hayo kikatiba na hata kisheria hana mamlaka hayo...? ilikuwaje Jecha akawa anazungumza na simu siri siri wakata wa kuhakiki na kutangaza matokeo ukiendelea....? ilikuwaje Jecha baada ya kutangaza kufuta uchaguzi ulio halali na wahaki akajificha asionekane....? ilikuwaje makamu wa ZEC zanzibar alipotaka kuendelea kutangaza majimbo polisi walimkamata na kumfungia jela...? ilikuwaje bwawani izungukwe na jeshi na hakuna mtu kuruhusiwa kuingia au kutoka....? ilikuwaje Kikwete akaiweka nchi ya Zanzibar chini ya ulizi siku za chaguzi....? ilikuwaje mkaruhusu uchaguzi haramu ufanyike Zanzibar...? ikiwa wewe Jaji Damian Lubuva mwenye unasema  uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 ulikuwa huru na wa haki na hata waangalizi wa nje wengi wamepongeza uchaguzi huo.

No comments:

Post a Comment